Recent content by mabugatpb

  1. M

    Mnyika kwenye hatihati kupoteza jimbo

    Post yako umeiandika kibwege sana swala la maji ni la nchi nzima wala siyo kwa mnyika tu Pili mnyika hakusanyi kodi angeleta maji kwa pesa yake mfukoni Tatu wewe unaushaidi gani kama alikuwa mbali na wapiga kura wake? Nne wewe umeshampata mshindi kabla hata ya tarehe 25 hizo kura zimepigwa...
  2. M

    Madiwani CCM wamkimbia mbunge wa CHADEMA

    kiongozi anayejali maendeleo ya wananchi wake daima huwa msitari wa mbele kushilikiana na wananchi wake, kama wewe ni kiongozi uliyechanguliwa na watu na hutaki kushiriki shughuri za maendeleo basi hata kuongoza familia yako huwezi, maana uko kimaslahi zaidi.Siasa ni utaratibu tu lakini kwa nchi...
  3. M

    Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

    Jamani njaa ni kitu kimbaya sana muulizeni TAMBWE HIZA Yuko wapi na njaa njaa zake
  4. M

    Nassari sawa, Lema hapana!!

    Katiba inakuruhusu ila usitoe mawazo ya wengine ugesema kwa mawazo yako wewe unataka sifa zipi na wewe unaelimu gani acha upuuzi wako
Back
Top Bottom