habari wadau. nina i phone 6s kuna muda inapeleka chaji na kuna wakati haipeleki kabisa yani ni kama inachagua wakati wa kuingiza chaji, ikiwa imezimwa nikiplug chaji inawaka ila ikishawaka tu haipeleki tena chaji inshort ni kwamba chaji ni nzima ila simu haipeleki kabisa... msaada kwa mwenye...
Navofaham mm unacertify sehem ambayo utatuma copy ya vyeti vyako ili wao kujiridhisha sasa utumishi huwa tuna upload vyeti original baada ya kuviscan so kwa mantiki hiyo natakiwa nivitoe vile original na niweke hizo copy zilizokuwa certified au?
Hivi hii inshu ya kucertify academic certificate imeanza lini? Maana nimeambiwa sijachanguliwa kwa sababu sijacertify vyeti.. maana huwa tunaatach original certificate mwenye idea naomba tusaidiane hapo ili next time yasinikute
Habari wana jf nimeitwa kwenye interview trc chang'ombe workshop.. nimefikia ubungo riverside, naombeni mwenye kupaelewa napanda gari la wapi na nashuka wapi mpaka nifike hapo workshop za shirika la reli chang'ombe? Ahsanten sana
Habari ndugu zangu,
Mdogo angu kaitwa interview ya vitendo shirika la reli TRC kwa fani ya equipment operator kwa mwenye ufahamu wanatumia mashine gani kufanyia usahili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.