Recent content by Mabhele

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Tetemeko la ardhi limetokea, Askari mmoja apoteza maisha

    Huwa naogopa sana hii kitu I see. Tena bora limetokea mchana, usiku ni mbaya zaidi maana unakuwa umelala, sasa mpaka ufungue mlango kutoka nje ni shida duh! Mungu atunusuru na haya majanga. Poleni sana nyote.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Shukrani nyingi kwa maelezo haya murua. Nimejifunza kitu. Ubarikiwe sana.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Binafsi namuogopa sana mwanamke asiyeomba hela

    Umejibu sawasawa kabisa.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mapadri na Watawa wa Kikatoliki hawaoi/hawaolewi?

    Vipi kuhusu wachungaji wenye ndoa na bado wanazini, hao unawaongeleaje?
Back
Top Bottom