Recent content by mabesela

  1. mabesela

    Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Toyota hiace high roof mpaka mkononi mwangu ni pesa ngapi za madafu.
  2. mabesela

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Majirani wanatokwa mapovu huku jamaa anakula maisha hana habari.
  3. mabesela

    Makosa hatari yanayomgharimu Tundu Lissu!

    Wewe kama nani umuonee huruma Lissu.
  4. mabesela

    KESI YA MAUAJI: Utetezi wa Elizabeth Michael (Lulu) ndani ya mahakama kuu

    Nafikiri angekubali kuwa walikuwa wanasukumana hivyo bahati mbaya akaanguka Kanumba,kesi ingekuwa manslaughter mwisho umri ungembeba na kuachiwa akarudi home kula bata kama kawa.
  5. mabesela

    Pep Guadiola asipobeba ubingwa 2017/2018 EPL najitoa JamiiForums kamwe

    Atawatingisha hukohuko na si Champion League.
  6. mabesela

    Habari Njema Kutoka Acacia: Wakubali Kila Kitu Ikiwemo Kulipa Kishika Uchumba Cha Dola Milioni 300

    Yaani voice note hata mimi naweza itengeneza. Siwezi amini mpaka official release yao kama ile ya awali.
  7. mabesela

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Nafikiri anachanganyikiwa na gap la mpinzani wake. Kumbe angetulia na kujipima yeye tu angekuwa anafunga kila mechi.
  8. mabesela

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Ronaldo anapania sana zingine ilipaswa kupiga kwa kuchungulia.
  9. mabesela

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Nzuri hii..lakin si kila mechi itafanya kazi sawia.
  10. mabesela

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Kwa hiyo Marcelo leo ni left wing?
  11. mabesela

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Good passing!! Hivi ndivyo ilipaswa iwe tangu mwanzo
  12. mabesela

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Yeah..hakukuwa na sababu yoyote ya kumtoa.
  13. mabesela

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Sub ya Isco na Lucas sijawahi kuielewa.
  14. mabesela

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Yaani Benzema badala ya kusolve tatizo ye ndo anazidi kuongeza.
  15. mabesela

    Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Tunahitaji penetration pass haya ma cross yame fail.
Back
Top Bottom