Recent content by Maassai doggy

  1. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo juu ya kazi yenye kutumia mtaji wa nguvu na akili

    Kaka machimbo ni mengi tz sema wewe upo wapi nikuelekeze palipo karibu maana wenzako sisi watembezi sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo juu ya kazi yenye kutumia mtaji wa nguvu na akili

    Acha kuwaza sana njoo machimboni uvumilivu tuu ukiiheajimu pesa hata mara tano ya hiyo unaipata Kwa mwezi moja
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wachimbaji wadogo secta iliyodharauliwa na kuachwa nyuma hivyo kuburuzwa na maafisa wa madini mara Kwa mara

    Kumekuwa na kudharauliwa sana kutokufwatwa Kwa kanuni na sheria ndogo ndogo za uchimbaji kwenye mikoa yenye uchimbaji wa madini haswa dhahabu Kwa kiwango kidogo. Mfano hai kumekuwa na Malalamiko sana Kwa RMO wa mkoa wa Lindi kuchukua maamuzi yake Kwa kusikiliza upande moja anaonufaika nao...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kifedha, nataka kusoma

    Wandugu mimi ninatatizo moja tu nataka nisome nifikie malengo yangu tatizo sina hela ya kuniwezesha kusoma diploma. Nataka niendelee kusomea diploma ya geologia ya madini. Kwa mwenye kuweza kunipa msaada wa kupata mkopo wa kielimu naomba anisaidie nipate kwani mm sio mwajiliwa.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lipumba- UKAWA Haturudi Bungeni Hadi Rasimu Ikiheshimika

    luv it
  6. M

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Wilbroad Peter Slaa apotosha watanzania!

    haya bhana wa2 wa 7 kutoka mwisho af wanachukia kuitwa 2 kutoka mwisho, zote f.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wawili wa Chadema Kagera, wawasha moto na kuvuna vigogo!

    Goood work, wel done
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar muungano tutaununua...

    sioni uhusiano wa kanisa na zanzba coz hata misr kuna wakristo, waza mambo ya kujenga, mi wazanzbar wajtoe 2 na bara watoto wa kijakaz wata2soma fresh
  9. M

    JamiiForums Tanzania Zijue kanda 10 za Tanzania chini ya uongozi wa CHADEMA

    mawazo mgando
  10. M

    JamiiForums Tanzania Sitta apagawa na nguvu ya Lowassa

    Lowasa jembe, ila sita jembe zaidi, kali wao anatokea CHADEMA mi staj ila wewe ambaye ni ccm mwenzangu mtaje.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kilichowaangusha 'wasaliti' ndani ya CHADEMA hiki hapa

    Hapo patamu
Back
Top Bottom