Recent content by Maandroh

  1. Maandroh

    ZanAjira ni kwa Wazanzibari pekee?

    Hivi ZanAjira ni kwa Wazanzibari tu na Ajira Portal ni kwa Watanzania wote?
  2. Maandroh

    Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

    To be honest, nilikua sijui kama kuna ulazima wa certify vyeti vya kuupload ajira portal. Ndo nimejua leo Ila sidhani kama vinahusiana na tatizo hili
  3. Maandroh

    Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

    Samahani...naomba kuuliza kwanini kila nikiapply ajira portal system inagoma wakati academic qualifications zinazohitajika ninazo na ndizo nilizojaza - system inanambia sina vigezo
Back
Top Bottom