Sasa zile kwaya anazoimba nani anataka kusikia...???? Watu wamejipanga wamemkalia juu anahaha kutafuta mlango wa kutokea heheheheeeee.... jitahidi kuomba mungu akupe mtoto walau mmoja ulee mama.. huu muziki unaung'ang'ania ila wenyewe haukutaki... nilikukubali way back not now adayz hata...
Tena asiongee kabisa huyo... clouds ndio babake iliyfanya tukamjua...sasa wasanii kama kina stara thomas ray c mbona hatuwasikii wakilalamika kama yeye kisa hako kagospel kake... wote na mkongwe mwenzake prof jay wakati umeshawatupa mkono wanachotakiwa ni kubuni mbinu mpya zitakazowaweka na...
Kwanza kale kawimbo kake kangependeza angekapeleka kwenye radio za injili maana ka kwaya kabisa... uwezo umekwisha anatafuta wa kufa nae sasa... anachofanya ni kijifanya kuwa hafanyi vizuri kisa anabaniwa hana lolote... alikuwa wapi siku zote asiseme si kwa sababu alikuwa anafanya poa.... sio...
Tatizo letu wabongo ni kukurupuka kusiko na kufikiria... kwa masikio yangu nimeusikia wimbo huu ukipigwa mara kadhaa kwenye kituo hicho halikadhalika niliusikia ukiwa introduced kwenye radio hiyo kwenye kipindi cha xxl na pia nimeisikia mara kadhaa kwenye vipindi tofauti... sitetei may be kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.