Recent content by Maabara4

  1. M

    JamiiForums Tanzania Anayejua sehemu yoyote penye ujenzi wa barabara kwa sasa anistue. Mimi sijaona tangu awamu ya 6 iingie madarakani

    Nilipita hapo June 2020 walikuwepo. Nakumbuka watu wa Kakonko walikuwa positive sana. Tulisimama pale kula chakula Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi ya Mbowe na wenzake: Kesi imeahirishwa hadi 28/01/2022, Luteni Denis Urio kuendelea na ushahidi wake

    Huyu Luteni ni smart sana. Maswali mengine anatoa majibu kumdistort Wakili. Tazama hiyo flow utakua alikua wakati fulani anakua superior kwa Wakili. Najifunza siyo Kila anayefell form four ni mjinga. Na siyo Kila Wakili ni smart kwa mbele ya wikili Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Makanali, Mameja, na Makepteni ndiyo hupindua nchi siyo Mabrigedia?

    Nimeona wimbi la mapinduzi limeanza upya Afrika hasa Afrika Magharibi lakini kote vinara wa mapinduzi ni maofisa wa Jeshi wenyevyeo vya kati kama Makanali, Mameja na Makepteni. Tazama Historia na facts. 1. Gamal NASER alipundua Egpt akiwa Kapteni 2. Muamal Ghadafi alipundua Libya kiwa Kanali 3...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

    Inasemekana Hawa wenye umri mrefu ndiyo huwapangia vifo wenzao Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  5. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

    Tupe na Tawimu za Samia pia mapendekezo yenu mnatakaje Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  6. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Eti Dodoma. Ulinganishe na Rock City. Duh. Hii picha inasema yote Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Hizi ni picha za makazi binafsi ya Capri point MWANZA. wanakoishi matajiri wa Mwanza. Huu ndo mtaa wa Wazito huwezi Kuta hii Dom wa Arusha. Masaki DsM na Mwaka Capri Point. Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    Mwanza Ina makazi binafsi mazuri mara mia ya Dodoma. Fika Capripoint Isamilo Mwananchi Bwiru Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Kaskazini inazidi kupotea kwenye ulingo wa kisiasa katika nafasi nyeti

    Maelezo yako ni mazuri. Sasa wafundishe vijana wa Kichaga kua hawana umaalumu wowote. Ni sawa na wenzao wayao, Wamatumbi, Nyaturu nk. Advantage ya kufikiwa mapema na umagharibi siyo kuwa na akili na superiority ni staratigal tu. Hii myth imesababisha Hadi vita kwa Mataifa mengi Dunia...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Kaskazini inazidi kupotea kwenye ulingo wa kisiasa katika nafasi nyeti

    Asante. Umenikumbusha vita ya Wameru miaka ya 90 mwanzoni. Ukisali KkKT unauwawa kuwa msaliti. Mpaka kanisa la KKKT likaweka azimia la kuunda Dayosisi ya Meru. Na tangu hapo katika Dayosisi ya Meru haijawahi kuwa na mchungaji Wala Askofu mchaga. Mpaka milele Sent from my Lenovo L38111 using...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wazee wa UCHAGANI, mkumbusheni Rais Samia mkoa wa Kilimanjaro unapaswa kuwa jiji

    Manispaa zinazoiizidi manispaa ya Moshi. 1. Morogoro 2. Mtwala 3. Zanzibar zipewe adhinya Jiji hizo ndo Moshi ifuate Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Kaskazini inazidi kupotea kwenye ulingo wa kisiasa katika nafasi nyeti

    Sina inferiority yoyote ila nakupa fact. Wachaga kwa kujipendelea post independence na kuwa pro wakoloni wakati wa wakoloni mkaona ni smart. Sasa mwanga imetangaza nchi nzima manalalama. Historia iko wazi. Nenda CRDB Kimei ilajaza wachaga tu kama ni Mali binafsi. Tazama hata dhehebu la KKKt...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi kukabidhiwa maghorofa ya Magomeni kota, wamlilia Magufuli

    Haha na ww imeanza kuelewa Bado Lissu Sent from my Lenovo L38111 using JamiiForums mobile app
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Kaskazini inazidi kupotea kwenye ulingo wa kisiasa katika nafasi nyeti

    Kaka. Kilimanjaro Kuna TTC nne za umma. Kuna chuo Cha Misitu, chuo Cha Wanyamapori, chuo Cha ushirika na vingine vingi vyote vya umma. Wakati Kuna mikoa haina hata TTC Moja. Je Kuna sababu ya ziada taasisi hizo za umma kurundikwa Kilimanjaro. Kama siyo upendeleo. Alafu btwn lines ni kama unaona...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Kaskazini inazidi kupotea kwenye ulingo wa kisiasa katika nafasi nyeti

    Hakuna kiwanda kilijengwa na zama za Msuya Mwanza Wala Kanda ya Ziwa. Textile nyingi huku ni za late 1969. Viwanda ya mafuta ya pamba ni early 1970 na ilikua program ya JKN. Msuya anakumbukwa kwa kazi moja tu. Kufanya miradi yote ya Taifa iwe Kilimanjaro na taasisi za umma kuhamishiiwa...
Back
Top Bottom