Wewe kumzidi kipato inaweza kuwa sababu ya yy kukaa mbali hata kama anaziona dalili ya mapenzi yako!
Way forward ni kumueleza ukweli, Naamini atakuelewa, halafu hakuna kitu kizuri kama kutongozwa na demu mzuri,muelewa,mshika dini,mwenye pesa zake,comees from good family,na anamapenzi ya dhati...