54. surat al-qamar
1. saa imefikaribia, na mwezi umepasuka!
2. na wakaiona ishara hugeuka upande na husema huu uchawi tu unazidi kuendelea.
3. na wamekanusha na wamefuata matamanio yao na kila jambo ni lenye kuthibiti.
4. na bila ya shaka zimewajia khabari zenye makaripio.
5. hikima kaamili...
QUR'AN 53 SURAT ANNAJM IMETEREMKA MAKKA.
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU WA REHEMA MWENYE KUREHEMU
1. Naapa kwa nyota inapo tua,
2. Mwenzenu huyu hakupotea, wala hakukosea.
3. Wala hatamki kwa matamanio.
4. Hayakuwa haya ila ni ufunuo ulio funuliwa;
5. Amemfundisha aliye mwingi wa nguvu,
6. Mwenye...
QUR'AN 18. Na Mayahudi na Wakiristo wanasema: Sisi wana wa Mwenyezi mungu na vipenzi vyake. Sema: Basi kwa nini anakuadhibunu kwa ajili ya dhambi zenu? bali nyinyi ni watu tu kama wale wengine alio waumba. Humsamehe amtakaye na humuadhibu amtakaye. Na ni wa Mwenyezi mungu tu ufalme wa mbingu na...
5. SURAT AL- MAIDA
14. Na kutoka kwa wale walio sema: Sisi ni Manasara, tulichukua ahadi yao, lakini wakasahau sehemu ys waliyo kumbushwa. kwa hivyo tukaweka kati yao uadui na chuki mpaka Siku ya kiyama. Na hapo Mwenyezi mungu atawaambia waliyo kuwa wakiyafanya.
surat ah-zaab aya 57. hakikan wanao muudhi mwenyezi mungu na mtume wake, mwenyezi mungu amewalaani duniani na Akhera, na amewaandalia adhabu ya kufedheesha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.