kwamba wanyama ni bora kuliko wamasai?
kwamba waarabu ni bora kuliko wamasai?
Je hao wanyama wa ngorongoro wanafaida gani? hifadhi inaingiza poto kiasi gani?
Hivi kuna bank bora tanzania kwa sasa kuliko crdb?
Yes, wanaweza kuwa na matatizo ya hapa na pale lakini wako vizuri.
Je unajua huduma za simbanking/internet banking. Mtandao wake unatolewa na vodacom?
Mbinu nyingine ni kuhakikisha unatoka na huyo mjane,
ili uwe baba wa kufika wa hao vijana.
Halafu unaanza kuwapangia zamu ya usafi kila mtoto.
Unawapa nguo zako wakufulie,
Una hakikisha wanaondoka wakajitegemee
Mashaert yanaweza kuwa kwenye maeneo haya:
1.Bei
2.Muda wa kuingia & kuondoka:
3.Kuharibu, Kuvunja mali
4.Ufunguo kupotea:
5.Maegesho:
6.Marufuku Kuvuta Sigara,pombe
7.Makelele vyuumbani
Usisahau mwanaume anapo taka kuoa, huwa makini sana.
Hao wanao oa watu maarufu,pesa, uzuri wanao na wanajua hapa ndoa hakuna.
wanatafuta maslahi binafsi, ya pesa na umaarufu pia.
Nyakati zimebadilika sana,
Muda wa kuangalia makalio uko wapi? (sasa hata ukiona hayatishi)
Mtu hata akivaa nguo fupi kuliko chupi, (wala hayatetemeshi tena?
Makalio, shape, sura sio kitu zama hizi,
pitia mitaa ya tiktok, facebook,nk nkyapo ya kutosha ni bando lako tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.