Recent content by m2ku2com

  1. M

    JamiiForums Tanzania Majangili yaitungua helikopta na kumuua rubani huko Maswa

    Suala la ujangili sio suala jepesi la kuzungumziwa kwa fikra nyepesi na kutatuliwa kwa hoja nyepesi wakati majangili wanatumia mkakati maalumu, wamejidhatiti kifikra, afya na dhana. Maswa sio sehemu nyepesi katika kuzuia ujangili kihistoria. Watumishi wamekuwa wakikumbana na changamoto kubwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Lowassa kugombea tena Urais Mwaka 2020, asisitiza yupo fiti

    kibaya ni kwamba katika mataifa masikini kuna idadi kubwa ya watu wasiofikiri vizuri na wachache wenye nafasi ya kufikiri vizuri wamepooza ubongo. Tanzania ni kati ya hizo nchi ndio maana uzoefu sio changamoto ya maendeleo hapa kwetu na historia haijawahi na haitawahi kuwa mwalimu mzuri kama...
  3. M

    JamiiForums Tanzania mke wa mtu hanihongi tena

    zamu yako kupigwa tigo inakaribia, we jisifie ujinga
  4. M

    JamiiForums Tanzania Binti aliyechukua uamuzi huu,,ungemsamehe?

    niunganishe nao niwapatanishe maana hisia za penzi lao bado zimo kwenye mioyo yao
Back
Top Bottom