Recent content by M2.

 1. M

  Mkutano wa Dr. Slaa wafunika tena kanda ya Nyasa mkoa wa Rukwa

  Kuanguka kwa CCM kuko dhahiri kabisaaaa
 2. M

  Tundu Lissu yupo live bungeni

  hahahahaha alikuwa kwenye kampeni ya BVR sasa karudi hahaha
 3. M

  Yaliyojiri Mwitongo, kutangaza kuwania urais kwa Makongoro Nyerere

  Unabii wa Nyerere utatimia mwaka huu.
 4. M

  wanafunzi wa vyuo vikuu wapugwa stop kugombea 2015

  Kugombea ni muhimu zaidi ni swala la kulikomboa Taifa, masomo tutaahirisha tu vyuo havihami, au tutamalizia kupitia open university.
 5. M

  Uchaguzi Mkuu October 2015 kutumia Katiba ya 1977 bila mabadiliko, Watanzania bado tumelala!!

  CCM waliahidi mbele ya TCD kuwa watapitia katiba, na walisema kwa watanzania pia, kwahiyo tunawasubiri watekeleze, hata wasipotekeleza mwaka huu kwa katika hiyohiyo tutawaondoa.
 6. M

  Dr. Slaa ndani ya Manispaa ya Sumbawanga leo 1/6/2015

  Eti wanasema tusihamasishe watu wajiandikishe hahaaaaaa
 7. M

  Nani alimshtua Lowassa?

  Angeibuka Shujaa na angekata kiu ya waliokuja kumsikiliza kama angekuwa jasiri kuizungumzia Richmond, ndio maana watu wote waliondoka dissapointed kabisaa kwa kutoa ahadi na kushindwa kuitekeleza. Lowassa asidhani ukimya wake utafanya ateuliwe na CCM.
 8. M

  Ushauri kwa CCM: Mwondoeni Lowassa kwa Mdahalo

  Huo uwezo wake wa kutengeneza image yake ndo unawatisha
 9. M

  NEC yapiga marufuku CHADEMA Kuhamasisha Uandikishaji

  CCM imeshaumia mpaka sasa, wameshaitonya tume yao kuwa hali yetu ni mbaya, tunafanya kazi kama mchwa na wananchi wanaiitikia wito wetu, CCM wameogopa. :peace:
 10. M

  NEC yapiga marufuku CHADEMA Kuhamasisha Uandikishaji

  Tulifanya vikao viongozi wa vyama kama wadau wa uandikishaji na Afisa Mwandikishaji ambaye ni mkuruganzi wa wilaya, na tukakubaliana kwa kupitia miongozo ya tume kuwa sisi ni wadau muhimu wa zoezi hili na tunawajibika kuhamasisha wanachama na wafuasi wetu kujitokeza kujiandikisha, na tumekuwa na...
 11. M

  NEC yapiga marufuku CHADEMA Kuhamasisha Uandikishaji

  Watu wengine bwana hebu ngoja nijinyamazie zangu, utajibiwa na wengine.
 12. M

  Mark Mwandosya Live, Sumaye Kesho

  Mwandosia ana hela ya kukodisha TV au wanafadhiliwa
 13. M

  Askofu Mokiwa aibua sifa za Rais ajaye

  Viongozi wa Dini mnatuchanganya
 14. M

  J. Makamba: Walioua viwanda wasichaguliwe

  Kauli yake itakiangamiza Chama chake, maana ndo kimeshirika katika hayo mauaji kwa awamu tofauti tofauti.
Top Bottom