Recent content by M2 KU2

  1. M

    Kwanini wanawake wengi wa kizazi cha sasa hawaolewi?

    Ikiw a mfumo dume hali ndo hii mkisimika mfumo Jike itakuaje mnadhani
  2. M

    Kwanini wanawake wengi wa kizazi cha sasa hawaolewi?

    Tena msimfokeeee huyu to yeye
  3. M

    Kwanini wanawake wengi wa kizazi cha sasa hawaolewi?

    Bibi yako hajui kuuliza swali ilitakiwa ukauulize unajua Kwa nn mjukuu wangu huoi ? Sisi tushaona na tunampango wa kuozesha na watoto wetu sasa
  4. M

    Mistari ya kisasa ya kutongoza kwa wale wasio na ujasiri

    Samahani kama wanaume sote ni mboga ww ni mtoriro umelegea ninyama unalala na kunadilisha nguo na binti chumba kimoja kweli idadi Ile Ile ila wafanyao kazi tuko wachache mno
  5. M

    Mistari ya kisasa ya kutongoza kwa wale wasio na ujasiri

    Atakaye fanya hiyo atakua amevunja kabisa katiba ya kibaharia na adhabu yake atoswe Baharini bila ya lifejackete
  6. M

    Kwanini ni rahisi kujua mke akichepuka?

    Hongera wazazi wako wamepata mtoto sio kokoto.maana kuna wengine humu ni kokoto wazee wanajua ni mtoto.
  7. M

    Kufanya mapenzi ndotoni

    Ndo Maana bikra siku hizi adimu Kia sababu zinatolewa hadi usingizini au sijaelewa vizuri apo Maana ulisema ni Tendo original ndo maana unachafuka
  8. M

    Zanzibar: Rais Mwinyi afanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 5

    Busara inayofaa kutumika kwako ni kupuuzwa tu maana hamna mamna nyengine
  9. M

    Rais Magufuli kuvunja Jiji la Dar es Salaam

    Mwisho atasema wakuu wa mikoa hawana kazi wanatumia pesa bure kwa kazi zinazofanywa na wakuu wa wilaya maana anataka kuaminisha hakuna Dar es salam bali kuna ilala na manispaa nyengine zenye arthi rasmi
  10. M

    Dkt. Mwigulu: Chanjo za Corona zimefanyiwa utafiti nchi za baridi zitawafaaje watu wa Dar es Salaam?

    Nawaza hivi kuna Parasetamo inayomfaa mzungu kwa sasabu anaishi kwenye baridi na ya Mtanzania anaeishi kwenye joto ? Ukijifanya unajua sana mwisho unasahau kuficha ujinga wako si hao hao waliokua wakiumwa wanakimbilia uko kwenye baridi kutibiwa
  11. M

    Spika Ndugai: Tunatengeneza vijana wa kucheza Pool table, wakikaa na simu wanaperuzi tu

    Mwambieni Ndugai kua hua hatuperuzi Bali Tunatandika mikeka ndo ajira zetu zilikobakia huko ambako unakutana na mshahara wako kwa mujibu wa ongezeko la timu tu. Yaani kule tunajipangia wenyewe. Kama wao hawana ajira za kutupa.
  12. M

    Hongera Rais Magufuli kwa kunusa uvamizi unaofanyika Ndachi Nkuhungu, Dodoma

    Ndo kusema Financial and Building imetumika hapo ama
  13. M

    Nivumilie au?

    NB : na akija kuleta Uzi kua mwanamke alimpa mtaji wake wa samaki kaula na dume jengine Nadhani kitachoandikwa hapa huu Uzi ataujutia maisha yake kwa mawazo yako ulompa
  14. M

    Mbunge Taletale: Serikali ishirikiane nami tulete mkandarasi wa Finance and Building barabara za jimboni kwangu

    Waungwana nisameheni mm wizara yake bado huyu hapa anaunganisha picha tu mradi ionekane na yy kachora kitu
Back
Top Bottom