Recent content by M02

  1. M02

    JamiiForums Tanzania Banda Umiza

    Hila nasikia watu wengi hawapendi kuangalia mpira wakiwa ma kwao. Banda umiza inaleta mzukq zaidi!?..
  2. M02

    JamiiForums Tanzania Banda Umiza

    Hapana mkuu, nimetania Hata mimi ninalima, laki inaweza sio kwa kiasi chako, mimi bado niko chini kdgo. Bythe way. Ahsante sana. Much appreciate 👍🏾 ☺️
  3. M02

    JamiiForums Tanzania Banda Umiza

    Kilimo cha matikiti kikiwa kwenye karatasi kina lipa sana!.. Lima wewe sasa!!!.
  4. M02

    JamiiForums Tanzania Banda Umiza

    Wakuu, vipi biashara ya kuonyesha mpira iko na soko sana, au ndio kila mtu anamiliki Hissen na TCL 75" Kama iko na soko, wadau wanahitaji sana Kuwe na TV au Projector 📽️ ndio yenyewe!?..
  5. M02

    JamiiForums Tanzania Aliyemtapeli Ridhwani Kikwete milioni 4, atupwa jela miaka 7

    Aaah 4m kitu gan bana, Jaji kazingua parefu sana 😢
  6. M02

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba ushauri: Hii laki nane niliyonayo mfukoni nifanye biashara gani ili niweze kuizalisha?

    Kuna jamaa hapo Dodoma wanauza maharage debmbe 2 kwa siku, hiyo ni njee na nyanya na vitunguu
  7. M02

    JamiiForums Tanzania Nina millioni 1 na laki 3 nifanye biashara gani?

    Check na watu wa UTT Amis, Weka hiyo pesa kwenye mfuko wa ukwasi, utapata faida, badala ya kua unawaza masomo na biashara kwa wkt mmoja
  8. M02

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba ushauri: Hii laki nane niliyonayo mfukoni nifanye biashara gani ili niweze kuizalisha?

    Kuna biashara ya genge, unaweza jenga kibanda, kwa hiyo hela na kuaanzisha biashara hiyo, Sehemu za mipango, unaweza kuuza maharage. Pia kuna biashara ya kuuza chapati, maeneo ya mipango, Kuanzisha mnada mpya hapo, unaweza fnya kitu hila hakikisha unapata sehemu nzur ambayo iko barabarani...
  9. M02

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Kuna Bilioni 48 Wajasiriamali mtakopeshwa

    Daah pesa ni nyingi sana hila, ubabaifu ndio umekithili. Kila mmoja anatamani kuwa mnufaika wa fedha hizi, Hila zinaliwa tu na akina Mwigulu
Back
Top Bottom