mnanihakikishiaje kwamba nyie ni wapinzani mnaojitofautisha na ccm?.mi naamini posho bungeni ni sehemu ya matumizi mabaya ktk serkal na mbunge mpokea posho namuona mnafki akijidai kuilaumu serkal kuhusu matumizi mabaya.JE NINI MSIMAMO WENU KUHUSU POSHO?
salaam.Tujaribu kutafakar endapo ule waraka wa siri wa akina MM ambao mmojawao mpaka sas hajatambulika na inasemekana ni mtumishi wa makao makuu ya chama.Pamoja na hoja zilizoorodheshwa kuhalalisha umuhimu wa kubadili uongozi kama vile ubadhirifu,ugatuzi,kushindwa kusukuma maendeleo ya chama...
salam.Kumekuwepo na wimbi la shutuma za kununuliwa na kusaliti miongoni mwa viongozi wa vyama vya upinzani kuanzia ngazi ya mtaa,diwani,wabunge mpaka wakuu wa chama.Kwa hali hii ya kununulika au kusaliti wakati wanapambana kuingia madarakani je tukiwapa mamlaka ya kutuongoza ndio itakuwa mwisho...
KTK ZOTE NLIZOANGALIA KUNA MDADA MMOJA ANA MWILI NA MFUPI KIASI KIWANGO CHAKE CHA SANAA NIMEKKUBAL KAMA YUMO JF ANIPM.mashuka y location yaliandkwa machimachi lodge.
Kwenu mliowahi na mnaoendelea kumaliziana lodge sasa hivi mjini zimesambaa CD kibao za ngono zilizorekodiwa katika logde mbalimbali na inavyonekana watu walikuwa wanarekodiwa bila kujijua.
Kiukweli kuna watu ni wasanii wazuri kupita Kanumba na nina uhakika watauza nakala nyingi cha muhimu ni...
vipi tuwaiteje wanasiasa ambao pia ni viongozi wa dini?,ushabiki wa kisiasa umefkia pabaya eti wanasiasa hawa wa tz wawe waadilifu kupita viongozi wa dini.Kwa waliosalia idd mskit wa ansar moro wanajua maneno hya yamepokelewaje na viongozi wa kiislam na waumini wake na ijmaa hii ktk gazet la...
tayari wahadhir wa kiislam wamelitolea tamko la kulaani kuchafuliwa kwa viongoz wa kiislam.Jana ktk sala ya ishaa y msikiti wa ansar msamvu hapa moro mhadhir alhaj dumu alilionglea.nitakuwa mpumbav kuwaamin viongoz wa kisiasa wa tz kuliko viongoz wa dini
Siri ni kitu chochote ulichoamua kukificha kisidhihirike machoni au masikioni mwa wengine. Mi najiuliza we mwenzangu unayeita viungo vyako vya uzazi kuwa ni "sehemu zako za siri".
Je, umepata wapi uhalali huo?
Ni kweli viungo hivyo ni siri yako hajawahi kuviona na kuvitumia mtu mwingine...
waliopo hawatakiwi + wanaotaka hawaaminiwi = hawajitokezi kupiga kura.siasa za tanzania ni sanaa yan wanaimba kama malaika huku wanacheza kama mashetani.Watu huru tusio na ushabiki wa vyama ndo tutegemewao na tz kuipatia viongozi watakaothubutu kuziishi ahadi zao.
kama nlivyojitokeza 2010 ktk kituo cha s/m sinza mihogoni kumpigia kura mnyika na r.Pamba kwa hapa moro sina sabab y kumnyima abood.Hyo afande hpa moro hana mvuto labda mitaa y misufini hvyo ntamuunga mkono ktk udiwani.Abood ni mtu wa kujchanganya na vijana kawaida kumkuta dimbani ktk ligi za...
uliposema ni ugonjwa ukanshawishi niwaulize na wengine majibu yao ynaonesha hali hii ni ya kawaida,wengi wanasema huwatokea wakijisaidia baada y kuibana sana haja na wengine wanasema huwatokea kpindi cha baridi.Nnachotaka kujua ni nini kisababishacho hali hii.Asante sixt
Nimekuwa nkijiuliza siku zote bila kupata majibu, hali ya kutetemeka mwili pale ninapotoa haja ndogo hasa kwa wanaume husababishwa nini?
Ningependa kufahamu hili wanataaluma.
Ahsante
Wengi tumezoea kusema "nasikia harufu fulani" wakati inafahamika kwamba hatutumii masikio kutambua harufu bali pua,je ni neno gani sahihi la kuelezea hisia hii badala ya neno "nasikia"??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.