Recent content by M.J

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini gundi (glue) haikamati pakiti yake?

    Jaman naomba kujuzwa kuhusu gundi zenye nguvu na zinazonasa haraka (powerful and fast glue) kama superglue miongoni mwa materials zilizoainishwa kuwa inaweza kunasa ni pamoja na zilizounda pakiti yake. Ni kwanini haifanyi kazi hiyo inapokuwa ndani ya pakiti.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je! umeomba kujiunga na Jeshi la Polisi?

    Yaa kwan hata wakichukua mtu mmoja sijazidi moja mie ndo unambie 10% tena uhakika m2pu we nijalie tarehe ya usaili tu au kwa uzoefu huwa inachukua muda gan toka deadline ya ku2ma application had usaili?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kulala sana ni ugonjwa?

    Ndugu yangu STRESS si shda bt the issue iz how to supress, hata mtu anaponusulika kugongwa na gar anacho kipata pale ni STRESS, kwa kuwa hakugongwa bas STRESS huondoka muda mfupi baadae yaweza kuwa hata baada ya dakka 2. Hvo shda ni ikiwa utakaa na STRESS muda mref waweza ingia hal inayoitwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kulala sana ni ugonjwa?

    1. Issue hapo ni STRESS(msongo wa mawazo) hali hii huweza pelekea kukosa usingzi au kulala kupta kiasi pia STRESS hupelekea mtu kukosa hamu ya kula au kula kupita kiasi hivo mtu mwenye STRESS huweza kukonda au kunenepa waweza shangaa it iz too psychological 2. Pili ni...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Polisi ni lini?

    Ngonyan hata kama huna jibu la nilchotaka kukifaham bt lengo langu umelipata vzur sana mlcho tofautiana na huyu bwana ni uwezo wa kufikiri na busara kwan kaelekezwa arejee mada yeye kang'ang'ania kucomment bila kusoma mada ni wengi sana nchi hii hakka 2nasafar ndefu....
  6. M

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Polisi ni lini?

    Haya bhana!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Polisi ni lini?

    Kwa miaka ilyopta ilikuwaje?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Polisi ni lini?

    Ebwana poa yote hii ni kuepuka kuchanganya habar kwan waweza chukua tenda kwa m2 tareh 10/9 halaf usail ukawa tareh 28/9 na tenda ilibid iende mwez mzma had 10/10 na zaid cjajua early baada ya usaili utaratbu unakuaje!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Usaili Jeshi la Polisi ni lini?

    Kwa mwenye uzoefu (experience) plz naomba kujuzwa usaili kwa waombaji elimu ya juu huwa unafanyka baada ya muda gan tokea deadline ya kutuma maombi ambapo kwa mwaka huu ilkua31/8. Welcome...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Namna ya kukabili harufu mbaya ya miguuni

    Hapo ndugu yangu deal na fungus na siyo harufu hata ukibadilsha ngoz yaweza isisaidie kwan we sio mchafu kama waweza badili soksi had mara2 tatzo ni bakteria hvo anza nao hao na pia badil mazingra yanayo wavutia kama miguu kuwa na unyevu muda mrefu hasa utokanao na kuvaa viatu muda mrefu.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Masters of Education kwa ada nafuu?

    Poa ndugu!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Masters of Education kwa ada nafuu?

    Nashkuru sana ndug!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Masters of Education kwa ada nafuu?

    Tafadhali kwa mwenye uelewa juu ya hili aniandikie kiasi cha ada kwenye chuo husika kwa hapaTz. Nahitaj kufanya masters bt Kufanikisha hil kwangu uchumi ni kikwazo plz..!
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna na gharama za kutuma maombi ya kazi Jeshi la Polisi

    Nimekupata vyema mzee!
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Namna na gharama za kutuma maombi ya kazi Jeshi la Polisi

    #Nambie gharama yake ndg yangu#
Back
Top Bottom