Recent content by Lyugi sana

  1. Lyugi sana

    Hivi ni kwanini Typhoid haiko kwenye bima ya afya?

    Typhoid unajua sababu zake ziepuke na hautaiulizia tena kwenye bima,acha ushamba
  2. Lyugi sana

    Tanzania tumewekwa Level 4 ya Maambukizi na CDC. Mbona hatuwaambii Raia?

    Hiyo nzuri wao CDC ni level ya ngapi? Unajua kujua sana nako ni ugonjwa, acha nchi iendelee Rais ana majukumu mengi, kuna watu wanakufa kila kukicha kwa magojwa hayahaya tunayosumbuka nayo so hatuwezi kudeal na ugonjwa mpya wakati tahadhari ya mengine kila uchao tunapambana nayo, let COVID 19...
  3. Lyugi sana

    Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    We jamaa umelewa ulaka!hebu piga chafya kwanza kuufungua ubongo wako unaonekana hata kwenu umesoma peke yako sasa unataka kuleta ujinga wa familia yako na humu,tafuta source of medidicine kabla hujaja kuuliza madalaka kwenye medicine soma hx ya kwann pamekuwepo na MD,NURSE,PHARMACIST NA MENGINE...
  4. Lyugi sana

    Mh. Rais, Wizara ya Afya ni ka "Empire" ka Madaktari, Kuna "Mfumo Daktari" Ulioota Mizizi

    Unajua tutatafuta na kujifanya tunajua mambo mengi mabaya kwa sekta ya afya,tuwe wawazi kabisa hii ni njaa tu inasumbua watumishi wengi,unaongelea madaktari wawechini ya manurse na wafamasia hivi unajua nurse na mfamasia hawasomei udaktari?ila daktari anasomea vyote hvyo ndani ya kozi yake? Na...
  5. Lyugi sana

    Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hapo chief umeongea point husika, yaan ukiwa na bima no services lakini pt user fee services available hapo directly tunatupia lawama kwenye bima, labda nikufafanulie kidogo,unajua hizi bima zote zinakua na kelele kwa sababu zifuatazo;watoa huduma wanatoa huduma hzo but malipo yao stahiki...
  6. Lyugi sana

    Wizara ya Afya Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Unapoint lakini nadhani hujaiweka kwenye usahihi,nadhani bima hapo hazina matatizo ila pia nadhani ungeuliza inatokeaje kuwa na bima halafu unaambiwa dawa hakuna?tatizo hapo litakua ni dawa wala sio bima na hilo tatzo sio kwako tu ni kwa sehemu kubwa hasa zinapotumika bima za iCHF ndio mambo...
  7. Lyugi sana

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Teheteheteh!nacheka lakini najiuliza!
  8. Lyugi sana

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Yanga yenyewe sio team ni club ndio maana kwa sasa hakuna team itakayokaitisha ikaondoka na ushindi mbele ya yanga sasa ww unaejiita unateam pambana na team yako tuache wenye club tuendeleze ubabe,et namungo na azam hata soo huoni pata haja kubwa ukalale naona imekubana
  9. Lyugi sana

    Marefa wa CHAN Cameroon

    Hakuna mtu kati so waacheni wakamwage manyanga
  10. Lyugi sana

    Kilichomkimbiza Sven ni kejeli za kufungwa na FC Platinum Zimbabwe

    Sio kuwapita akina mama paka!
  11. Lyugi sana

    Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

    Unahitaji zawadi kwa maneno ya hekima mkuu,mawazo pevu sana hayo,maisha yetu yako kwa mungu pekee lakini kupitia madaktar maisha na afya zetu vinaimarika,so kuwa na mabadiliko ya policies kwenye wizara ya afya ni jambo busara sana,kwa watumishi na wahitaji wa huduma za afya.
Back
Top Bottom