Ameongelea kinachohusu muhimili wake au katoka nje na hapo? Hili ndo linatupa shida wengi sana. Na ana bahati sana kaongea wakati Lisu yupo kitandani, lakini angemchagulia jina huyu. Mm hata nikisoma vipi sitakaa niwe profesa. Hivi jaji mkuu wa kule kenya ni profesa? Kama siyo profesa basi ndo...
Mm nimepata shida sana kichwani mwangu. Ile press conference ya CJ ilikuwa ya nini? Kuongelea juu ya uchunguzi wa tukio la TL ilikuwa ni kazi yake au ni ya Serikali(Waziri wa mambo ya ndani). Naomba wataalamu wa majukumu ya mihimili hii mitatu mnisaidie kama kazi ile ya ufafanuzi ilikuwa ya jaji...
Mm nasubiria maagizo yake ya kuhamishia stand ya mabasi ya mikoni mbezi mwisho. Naona hata mchakato wa kuanza ujenzi pale mbezi hakuna kabisaa. Waliahidi mwezi July kuanza ujenzi kwa kushirikiana na LAPF leo ni Septemba. Hainiumizi kichwa hiyo ya yard ya magari, itapita kama ile ya stand ya...
Hapa mm sioni tatizo. Waziri alichokisema nakiunga mkono asilimia mia. Kwanza wanawatesa sana nurses kwa kuwatumia kwenye maduka ya dawa ya hospital wakati wodi za wazazi hazina manurse wakutokosha. Hii iwe ni sawa kwa isivyowezekana nurse kukaa kwenye chumba cha daktari na kumsikiliza mgonjwa...
Wapendwa rafiki yangu ameingia dilema. Anaomba ushauri juu ya uchaguzi wa gari ya kununua kati ya hizi option mbili alizonazo.
1. Anunue VITZ kutoka japani
a) year of make 2000
b) imetembea km 71,000
c) ina cc 990
d) inauzwa shs 7.6m mpaka anaishika mkononi lakini bila...
Usifikiri wote wamesoma Adv private. Issue ni O olevel. Huwezi kumjaji mzazi aliyemsomesha mtoto wake Olevel private mwaka 2013 sasa na ku assume bado ana hela 2017. Uchumi ubadilika. Mtu aliyekuwa ana biashara 2013 inawezekana mwaka 2016 akawa ameyumba asiwe na uwezo wa kusupoti masomo ya...
Nawasihi bodi ya mikopo kutumia weledi katika utoaji wa mikopo na kuacha ubaguzi usiokuwa na maana yoyote. Kusoma O level private isiwe adhabu kwa hawa vijana. Fuatilia uwezo wa wazazi ikiwezekana nendeni mpaka vijijini kwao mthibitishe.
Haya yote naona unajisumbua tu, hapa waliochemka ni kina Maalim Seif. Prof alijiudhuru August 2015 alafu kikao cha dharura kinaitishwa August 2016 baada ya kuwa amehairisha? Ni nini kilisababisha barua yake isithibitishwe alafu ndo wanajisahihisha kwa kuitisha kikao cha dharura? Hapa naomba...
Haya yote naona unajisumbua tu, hapa waliochemka ni kina Maalim Seif. Prof alijiudhuru August 2015 alafu kikao cha dharura kinaitishwa August 2016 baada ya kuwa amehairisha? Ni nini kilisababisha barua yake isithibitishwe alafu ndo wanajisahihisha kwa kuitisha kikao cha dharura? Hapa naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.