Recent content by Lyimo tsk

  1. L

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna bomba la maji limepasuka kata ya Oloiren Arusha lakini hadi leo hakuna hatua zilizochukuliwa

    Kuna bomba la maji limepasuka Arusha Kata ya Oloiren Mwanama Reli Kibaoni. Taarifa ilitolewa tangu mwezi mei kwa simu lakini mpaka leo hakuna hatua zozote zimechukuliwa. Maji yanavuja na barabara inaharibika Soma Pia: Nipo nje ya mji, nyumba imefungwa Kata ya Olorieni - Arusha lakini bili ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kukatika Kwa umeme bila back up system ni dalili ya kukosa vision. Ni hatari Kwa usalama wa Taifa

    Kukatika Kwa umeme bila back up system ni dalili ya kukosa vision. Ni hatari Kwa usalama wa Taifa.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwakyembe awataka wamiliki wa vyombo vya habari kujenga daraja baina yao na serikali

    Habari nzuri na mbaya lazima jamii ijulishwe alimradi tu Ni ukweli/facts! Sio kuficha ukweli au kuchakachua maana au contents!
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Robert Kisena afutiwa Mashtaka ya utakatishaji fedha na Mahakama. Yeye na Mkewe wakamatwa tena, wafunguliwa mashtaka mapya

    Was it wrongful arrest? Kwa nini then..wameona hakuna haja ya kuendelea na kesi? Sababu zingetolewa ingependeza. Watafidiwa chochote??
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: RCO wa Ilala Dar SSP Mbise, afariki kwenye ajali Wilayani Mwanga

    Mungu ailaze roho yake pema peponi.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Akamatwa na Polisi kwa kuwalisha wananchi nyama ya mbwa akiwaambia ni ya mbuzi

    Haikuwa halali kudanganya kuwa ni mbuzi kumbe mbwa, hilo ndilo kosa vinginevyo mbwa wanaliwa China,Korea,Vietnam na Hata sehemu nyingi Africa na Kusini mwa Tanzania.
  7. L

    JamiiForums Tanzania TANESCO wahukumiwa kuilipa IPTL Tshs Billion 700 ikiwemo Tshs Billion 306 zilizochotwa katika Account ya Escrow

    Yote yalitokea chini ya Serikali ya CCM.Hakuna ubishi hapo.Sasa mafisadi ni Nani ???
  8. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama Mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) Afariki Dunia

    Pole Sana mbunge na familia yote. Mungu awaimarishe.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wafanyiwa figisu Kata ya Mbagala Kuu: CCM yapita bila kupingwa

    Haingii akilini kuwa wanaokosea muda na kujaza form ni Upinzani peke take! Kuna namna happy. Inatakuwa independent electrol commission. Tume huru ya uchaguzi.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mara: Viongozi wawili wamekamatwa kwa amri ya mkuu wa mkoa, baada ya kushindwa kutoa ushirikiano

    Iweje wenyeviti wakamatwe kwani ni washukiwa?? I
Back
Top Bottom