Recent content by Lycaon pictus

  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Sijui kama mambo yamebadirika ila nakumbuka zaman shulen tulikuwa tunalishwa matango pori kuhusu ujamaa na ukomunist na jinsi gani ubepari ni ushetani

    Na huko magharibi walilishwa kuwa ukomunisti na ujamaa ni mbaya na ubepari mzuri. Kwa sasa tango tunalolishwa ni kuwa demokrasia ni nzuri.
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Dunia imebadilika tena. Wanaanza kudai mafuta ya wanyama ni mazuri kuliko ya mbegu!!

    Hapa nakupata. Na hizi free radicals ni vileta kansa.
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Dunia imebadilika tena. Wanaanza kudai mafuta ya wanyama ni mazuri kuliko ya mbegu!!

    Hii imekaaje, ina ukweli wowote wa kisayansi? Watu wameanza kudai kuwa mafuta ya mbegu kama alizeti na mawese si mazuri kiafya ukilingsnisha na yanayotokana na wanyama kama ya kitimoto na ng'ombe. Hapo nyuma kidogo walisema mafuta ya wanyama yana lehemu na hayafai. Leo wanasema ya mbegu ndiyo...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Leo nimeingia kwenye mtego wa "Ila hii nchi . . . "

    Hakuna mengi ya kuongeza mkuu. Nimejikuta tu nimeingia kuchangia mada. Baadaye ndiyo kuja kushtuka.
  5. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Leo nimeingia kwenye mtego wa "Ila hii nchi . . . "

    Safi nini mkuu? Uzembe si kitu cha kupongeza.
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Leo nimeingia kwenye mtego wa "Ila hii nchi . . . "

    Nitajirekebisha na siku nyingine nitakuwa makini.
  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mkia wa samaki Taa(Stingray) una maajabu gani?

  8. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania istanbul Mvua ya El-nino Mafuriko yaliyotokea jana usiku siku ya jumatano haya ndio madhara yake

    Uturuki haipo kwenye maeneo yatakayopata El Nino
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Tutachukua hatua nzito ambayo haijawahi kuchukuliwa tangu TLS iundwe

    Hata yeye kajificha kwenye Urais wa TLS, ndiyo unampa ulinzi.
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Tutachukua hatua nzito ambayo haijawahi kuchukuliwa tangu TLS iundwe

    Jamaa mabiti mengi sana.
  11. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Looh! Eti naye Mzee Kimiti ni tisho la usalama wa Waziri Mkuu na Makamu!

    Watakudhuru kwa kumtumia usiyemtarajia.
  12. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Bond za magari iko vipi?

    Wanaita front
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina watu na ardhi: Tunafeli wapi katika mkakati wa uzalishaji na kupunguza utegemezi wa nje ?

    Hujaelewa hoja yangu. Ili mkulima wa hapa nchini apate faida kwenye kilimo cha ngano inabidi bei anayouzia iwe juu kuliko bei ya ngano kwenye soko la dunia. Inabidi watanzania wanunue ngano ya ndani kwa bei ya juu kuliko wanayonunua sasa ngano kutoka nje. Sababu ni kuwa mkulima wa Marekani...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina watu na ardhi: Tunafeli wapi katika mkakati wa uzalishaji na kupunguza utegemezi wa nje ?

    Ngano ina shida. 1. Nchi tajiri na wazalishaji wakubwa wa ngano wanawapa wakulima wao ruzuku kubwa sana. Matokeo yake wanazalisha ngano nyingi na wanaweza kuuza kwa bei rahisi na kushusha bei ya dunia. Wewe ukizalisha hapa Tanzania bila ruzuku na kutaka kuuza kwa bei ya dunia utspata hasara...
Back
Top Bottom