Ndugu yangu Kuna watu wengi bado wako gizani, leo nilienda posta nikahudumiwa na mama mmoja anayejiandaa kustaafu mwaka huu akiniuliza utampigia Nani kura? Nikamjibu yeyote aliye kwenye karatasi lakini sio Magufuli.
Alinishangaa akaniambia ndio zenu vijana kwani huoni maendeleo yote haya...
Wasikusumbue Hawa wote unaowaona humu wakipiga kelele mitano Tena Ni watoto wa dada zake yaani wapwa. Hawa Ni kina Dotto na nduguze wanajaribu kujimultiply kwa ID za kutosha JF
Lakini si unaweza kutoa hata wewe ndugu? Kama huna video unaweza kuandika hapa hizo qualifier za kuzungumza ukatili hadharani ukimtanguliza na Mungu. Please tuwekee hapa hizo qualifiers
Mkuu Mag3 naomba utuwekee video katika mfumo tunaoweza kudownload please not as a link. Niko na watu kibao ndugu zangu nikiwaeleza ukatili wa huyu bwana huwa hawanielewi
Ni Mungu huyo huyo unayesema amemuandalia mume mwingine wa kumlelea na watoto wake ndio huyuhuyu tunayehubiriwa anahimiza tusamehe Kama naye anavyotusamehe dhambi zetu?
Hiyo perfection mnayoitafuta duniani hamjaipata tu Hadi leo?
Unamuonea Pascal Mayalla bure. Unashindwa kuelewa wakati ule anatamka hayo alikuwa kwenye wakati gani. Kilikuwa Ni kipindi kigumu Cha kushawishi wajumbe kabla hawajafikia 500
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.