Recent content by Lyaka Mlima Jr

  1. Lyaka Mlima Jr

    JamiiForums Tanzania GE2025 Paresso: Samia ameonesha jitihada kubwa za kupambana na maadui wakubwa wa nchi hii ambao ni maradhi, ujinga na umasikini

    HAo walikuwa maadui wa Tz ya miaka 1960s , leo maadui zetu ni ufisadi na ukosefu wa ajira kwa vijana
  2. Lyaka Mlima Jr

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nilichokishuhudia kwenye maandamano: Serikali ya Tanzania imeshindwa vita

    Propaganda ya goli la mama imefeli. Propaganda ya kitumia wasaniii imefeli? Propaganda ya kutumia jina mama ili kutafuta huruma nayo imefeli
  3. Lyaka Mlima Jr

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya Afrika Mashariki imzuie Kagame kunywa damu ya wakongo, na kula nyama zao katika vita ya Mashariki mwa Kongo

    wa kumzuia ni akina nani sasa? wote wanafanana na tabia.
  4. Lyaka Mlima Jr

    JamiiForums Tanzania Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili

    vipi kupitishà ndoa zà jinsia mojà siyo upungufu wa akili?
  5. Lyaka Mlima Jr

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na CCM wameungana kupinga suala la bandari kubinafsishwa?

    Wizi mtupu, mtamkumbuka magufuli
  6. Lyaka Mlima Jr

    JamiiForums Tanzania Usiku utakapokwisha Ndugai ataibuka shujaa wa nchi hii.

    Nchi yetu y a Tanzania imepitia changamoto nyingi sana tangu uvamizi wa kikoloni karne 19 , wapo watu katika watanzania wenzetu walipoteza maisha yao na wengine kupata ulemavu wakipinga dhuluma na uhuni wa wakoloni enzi hizo. Miaka ya 1940s vuguvugu la kudai uhuru lilipamba moto ambapo...
  7. Lyaka Mlima Jr

    JamiiForums Tanzania Spika kujibiwa kiholela mitandaoni na watu wanaojiita makada ni dalili ya kuwepo uhuni mwingi katika chama

    Kutokana na mamlaka aliyonayo spika na bunge dhidi ya serikali nilitarajia serikali ije haraka na ufafanuzi wa yale aliyosema spika. Badala yake tumeshuhudia mtu kutoka kwenye chama akimshukia spika kama mtu asiye na mamlaka yoyote. Hii inaashiria ulegevu wa katiba tuliyo nayo na hivyo kuchagiza...
Back
Top Bottom