Recent content by lyajody

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kwa anaepafahamu Nshamba Muleba

    Mi wa kike jaman
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye experience na wilaya ya muleba kata ya nshamba

    Wakuu naombeni msaada kwa anaepafahamu nshamba muleba unisaidie vp kuhusu mazingira, uchumi , watu wake kiujumla
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kwa anaepafahamu Nshamba Muleba

    Wakuu habari za muda huu.. Ninaomba kwa mwenye wenyeji wa Katabya Nshamba wilaya ya Muleba anijuze kuhusu maisha kiujumla kwanzia watu wake, uchumi na mazingira
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye experience na wilaya ya muleba

    Wakuu naomba mnijuze .. ntatarajia kwenda kuishi wilaya ya muleba vp maisha kiujumla Hali ikoje especially huduma za kijamii ,nature ya watu na mazingira, uchumi
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri ndugu zangu

    Mimi ni Binti ambae nikiwa chuo mwaka wa mwisho nilidate na kijana mmoja anaeishi ktk mkoa ambako nilikosomea.. Nilikuwa namchukulia kawaida sana wakati huo hadi nikahitimu na mawasiliano yakapungua kadili siku zilivoenda na Mimi sijauona tatizo hata mawasiliano yalipoisha sikuumizwa wala...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kwa mliotuma maombi ya ukazi wa kudumu marekani

    Kwa mliotuma maombi ya ukazi wa kudumu marekani vp matokeo yenu , je Kuna aliebahatika ili mtupe hamasa na sisi ndugu zenu tujaribu bahati
  7. L

    JamiiForums Tanzania Familia ya muimbaji Christina shusho

    Kibu d ndo nani?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Familia ya muimbaji Christina shusho

    Mh kweli?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Familia ya muimbaji Christina shusho

    Tuliohudhuria mtoko wa pasaka huyu muimbaji Christina shusho hana ndugu? Mbona wasanii wakiwa na tafrija wakiitwa ndugu hujitokeza kwa wingi sana ...vipi kwa huyu dada yetu na mbona siasa ni nyingi kuliko muimbaji wake
  10. L

    JamiiForums Tanzania Naomba mnielimishe kuhusu hiki kitu

    Wakuu hbr za majukumu ningependa kuelimishwa kuhusu maswala ya green card kwa watu wanaopenda kwenda kuishi nje na kufanya kazi huko na je ilifungiwa na rais trump?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mama yake Mzazi anasema kabisa "Bora angekufa huyu kuliko yule wa Ulaya aliyekuwa ananitunza"

    Watu tunataka tukifanikiwa ndo tuwe madon wa familia kupigiwa magoti kuombwa msaada kila siku, sifa kwamba kaka wa ulaya siku ukija Tanzania uheshimike wengine wanakuwa hawafai ukirudi kijijini kwenu uchemshiwe maji ya kuoga ,bafu lisuguliwe ling'ae upelekewe maji ukaoge, uchinjiwe yule jogoo...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mama yake Mzazi anasema kabisa "Bora angekufa huyu kuliko yule wa Ulaya aliyekuwa ananitunza"

    Kuna umuhimu wa ndugu kuinuana pale mmoja anapofanikiwa amuinue mwingine na sio kusaidia pesa za kula tu
  13. L

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki, Fundisho la Kuomba Kupitia mnaowaita "Watakatifu", Mf Mtakatifu Francis, mlilitoaga wapi??

    Miongoni mwa jamii yenye watu Bora , wastaarabu , wasomi , waliofanikiwa na ambao sio wanafki ni jamii ya wakatoliki...walokole wanafki sana waliookoka kwa asilimia mia ni wa kuhesabu sana, majungu wao kusengenyana kanisanj wao ..ulitaka kuishi vzr hata kwenye nyumba za kupanga au ujirani ishi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa sera za trump masuala ya green card/visa lottery yataendelea kuwepo?

    Ey trump kaishafuta green card?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niepushe uadui na huyu mfanyakazi mwenzangu?

    Hospital kama tabibu
Back
Top Bottom