Recent content by lyahanze

  1. L

    Msaada: kutoa text 'unfortunately google service has stopped'

    kwa sasa karbu program zote znaandika unfortunately stoped
  2. L

    Msaada: kutoa text 'unfortunately google service has stopped'

    mkuu nimejarbu haijakubali. tena nimejarbu hata kuiflash kabsa pia imeshndkana!
  3. L

    Msaada: kutoa text 'unfortunately google service has stopped'

    Salama wakuu! simu yangu ni HUAWEI ASCEND G510. Nimekuwa nikipata hyo sms ya kustop kwa programs unfortunately mfululizo,mara google,home page,nk. nimereset haijakubali, nimepeleka kwa mafund zaid ya watatu waiflash kakin inagoma..haipokei mafile ya driver yaishe..inasoma nusu na inagoma'...
  4. L

    Waalimu wanahitajika haraka.

    unadhani mtu ambaye anataka akutapeli hawezi kutengeneza link n ukatuma na kutapeliwa? tambua kuwa tapeli ni professional kwa kazi yake so hilo ulisemalo l link si suluhisho..cha muhimu hapa ni mtu kujitambua na mambo y mtandaoni...umepewa namba tena ya voda ambayo utaitumia hata kwa kifurushi...
  5. L

    Waalimu wanahitajika haraka.

    Gud..mtu yeyote mwenye kujitambua hawezi lipa pesa yeyote mtandaoni pasipo kujiridhisha n taarifa utakazopewa...fanya hayo mawasiliano then km utahisi kuna ujanja basi ignore it..kwahyo usiconclude utapeli na silazma watu wote watumie njia unayotumia wewe...
  6. L

    Waalimu wanahitajika haraka.

    Unapong'atwa na nyoka kila uguswapo na nyasi lazima urushe mguu...stashangaa..kwa yeyote ambaye hana negative thinking juu ya hii taarifa atumie hyo contact ya sm then atajiridhisha kwa maswali yote ambayo yataclear doubt zote j ya matapeli... kwahyo watu wasishikiwe akili n mtu ambaye amewahi...
  7. L

    Waalimu wanahitajika haraka.

    Kwa wale wote waliosoma education na kuchukua masomo ya language. Na wanaojua kuongea kingereza vizuri. Ambao wako tayari kwenda kufundisha china kwa mshahara mzuri..wapige no hii 0757-432597 kwa ajili ya maelekezo ya kutuma cv zao. Deadline tar 20/08/2015
  8. L

    Unfortunately google play services has stopped

    Nilisha uninstall ikagoma.nikarestore bado nikajaribu kuflash ikagoma haipokei file kabsa..kiufup nimeishiwa mbinu
  9. L

    Unfortunately google play services has stopped

    Salamu wanajamvi. Msaada kutoa hiyo SMS inanikera sana na napata shida hata kuandika haya maelezo. Nitatoaje huu ujumbe..
  10. L

    Kirusi kibaya kabisa cha Upungufu wa Uzalendo, chaingia Tanzania

    Kwasababu kirusi kinapenya kwenye ubongo na kuathiri moral judgement zs watu...tusipokuwa makini kitatuua kabsaa likija suala zima la kura za Urais &Ubunge tunapoelekea too shame! Tutakosea na tutaadhirika km Taifa...ushakibik wa kienyeji kabsa ndo utashika hatamu!
  11. L

    Kirusi kibaya kabisa cha Upungufu wa Uzalendo, chaingia Tanzania

    Kwavle tz asilimia kubwa ni ya watu wasio na kazi za kufanya basi ni vema tuwasaidie hata namna ya kufikiri tu!itafaa kwan ni ndugu zetu hawa...we tanzanian!
  12. L

    Kirusi kibaya kabisa cha Upungufu wa Uzalendo, chaingia Tanzania

    Habari za asubuhi wanajamvi. Tumshukuru sana allah kwa kutupatia pumzi mpaka muda huu tunaisoma hii habari! TAHADHARI KWA WATANZANIA JUU YA KIRUSI KIPYA NCHINI KWETU. Ni wiki kadhaa sasa tangu watanzania wengi waishio maeneo tofauti tofauti ya Tanzania wamekumbwa na kirusi kipya ambacho mpaka...
  13. L

    Zitto anahukumiwa na kazi ya mikono yake

    kwa tafasiri zako mjamaa ni mtu masikini? kazi bado ipo..tafta darasa huru.
Back
Top Bottom