Recent content by Lwoma II

  1. L

    Walimu wapya hatuna mishahara

    Yaani hata ukipata namba za huyo mkubwa wa elimu,naye hakawii kuingia mitini. Naibu Waziri Mwanri anapatikana katika 0754693156 anatoa maelezo mazuri na kama sikuelewa vibaya TATIZO LIKO KTK HALMASHAURI ZETU.
  2. L

    Habari za uhakika kuanzia mwakani elimu ya msingi ni miaka kumi na sekondari ni miwili

    Wizara ya elimu imetoa rasimu ya mabadiliko kwenye mfumo wa elimu chini ya utaratibu huo elimu ya msingi inaunganishwa na sekondari o level hivyo elimu ya msingi itakuwa miaka kumi na itafundishwa kiswahili elimu ya sekondari itakuwa ni miaka miwili kwa kiingereza.kama itapita itaanza kutumika...
  3. L

    Walimu wapya hatuna mishahara

    Mkuu uliyekuwa unataka mawasiliano ya Waziri wa Elimu haya hapa. GENERAL Salutation Honourable Member picture First Name: Dr. Shukuru Middle Name : Jumanne Last Name: Kawambwa Member Type: Constituency Member Constituent: Bagamoyo Political Party: CCM Office Location: P.O.Box 9121, Dar es Salaam...
  4. L

    Walimu wapya hatuna mishahara

    Mtoa mada anaulizwa ni halmashauri gan hawajalipwa ameingia mitini!kulikoni???huenda mlichelewa kupeleka viambatanishi vinavyohitajika kuwaingiza kwenye payroll,kimsingi walim takriban wote wameshaingia kwenye payroll na wengi wameshaanza kupokea mishahara! Km umeenda mwez wa 3 mwishoni,ww...
  5. L

    Walimu wapya hatuna mishahara

    Ndugu wana JF naomba kwa yeyote anayeweza kusaidia kupatikana mawasiliano ya Waziri wa Elimu anipe. Huu ni mwezi wa pili sasa mamia ya walimu tulioajiriwa Machi2013 hatuna mishahara. Mbaya zaidi majibu ya Maafisa Elimu na Wakurugenzi hayana utu.
  6. L

    Waungwanaaaa

    niliungana nanyi kitambo lakini sikupiga hodi. tuko pamoja na mambo yatasonga.
  7. L

    Shonza na Mwampamba ndani ya New Habari

    labda wanatumika hao wenzetu
Back
Top Bottom