Recent content by lwigwano

  1. lwigwano

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Kabisa kaka, mafundi uswazi ww waache, nakumbuka nishapeleka simu kumbe tatizo kunasetting zilikua zinatakiwa ziwekwe sawa ilikua haisom mtandao, ile nampa dk mbili anakuja na jibu la kuflash simu!!! Nilisema alleluya
  2. lwigwano

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Kaka nimekupata ngoja tukasumbuane sasa na fundi
  3. lwigwano

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Mie sio fundi ila mimi ndo mwenye mali kiongozi
  4. lwigwano

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Hapo dawa yake ni nn kiongozi
  5. lwigwano

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Ipo kimya tyu mzee nikiizima inalia phaaaaah
  6. lwigwano

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Nauwezo wakuunganisha Bluetooth ikakubali, n.k japo kunawakat inasumbua kuongeza saut inakua km haitak vile, kuhusu panya sijui niliipeleka bond ndo nimeikomboa leo
  7. lwigwano

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu Subwoofer na Sounds system

    Bufa kangu hilo na km miezi sita sijalipiga ile nawasha leo linawaka tu mwanga kwa mbele ila sipati mdundo
  8. lwigwano

    JamiiForums Tanzania List ya Websites za Kudownload Movies kwa MB Ndogo

    Au sio Sent from my MO-01K using JamiiForums mobile app
  9. lwigwano

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    ulitaka uwe na nizamu ya kwel!!? serikali sio baba ako
  10. lwigwano

    JamiiForums Tanzania Askofu Pengo: Sikufahamu kuhusu waraka wa Kwaresma wa Baraza la Maaskofu Katoliki. Awaasa wasichanganye dini na siasa

    pengo ni kadinali yaan mwenyekiti au kiongoz wa maaskofu so swali lako la ninan nivp kuwajibia umelipata
  11. lwigwano

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Wazazi hawataki mwanamke abadili dini, wananiita 'kafiri'

    kwenye mahusiano yenu mlikua hamjawai lijadili hili?
  12. lwigwano

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo CHADEMA: Lowassa ajiandae kujieleza mbele ya Kamati Kuu, akileta blah blah analiwa kichwa

    hakuna kitu, chadema haina huo ubavu pesa za mzee hamuwezi zilipaa na huwez mfanya kityu yaaan utataaabika nyieee mpaka muijue siasa vizur maaana ubwege uliwazidi saaana
  13. lwigwano

    JamiiForums Tanzania Laptop for sale

    sababu ya kuuza na inamda gan!!?
  14. lwigwano

    JamiiForums Tanzania Wanaume kuna sehemu tunakosea. Angalieni mlio kwenye ndoa Hili ni Tatizo kubwa.Tusiwalaumu Wanawake

    we kijana usije ukaingia kwenye ndoa ukizan kila siku utasex mamaaa chamsingi unatakiwa kujua sio kila siku mtakua wote nahii kutokana na system yamaisha iliopo ktk utafutaji nashughur nyinginee, kugongewaa usije ukazan nikes kubwaa saana katka ndoa nijambo lakawaida lisilotaka kuzoeleka tyu...
  15. lwigwano

    JamiiForums Tanzania Agronomist looking for a part time job in( Arusha +Pwani)

    ngoja tuone
Back
Top Bottom