Kwa nini wafanyie Zanzibar. Wazanzibari wana misimamo yao hata ukifanya maandamano wiki nzima watakuja kukusikiliza na wakirudi huko wanabaki na misimamo yao. CHADEMA kashindwa kupata ngome huko miaka yote hiyo atawezaje sasa hivi wakati wapemba na waunguja wamevurugwa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.