Recent content by Lwama Papa

  1. L

    Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

    JAMANI WAPENDWA JF, Nitakuwa sipo kuchangia kwa maana, naenda DRC mpaka wiki ijayo jumatano,Wakimbizi wametuzidia uwezo hapa. Ngoja nikatafute ugali jamani. Bwana Lunyungu utanimiss?
  2. L

    Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

    Lo!, "connection" ya kusikia maongezi private kati ya mke na mume? Basi kweli huko London au UK kuna mambo. Kwa kweli ukweli ni kwamba, au, NI MUJUNGU, au aliyetoa taarifa ya hayo maongezi na kwa "submission" yake ambaye ni Lunyungu lazima alikuwepo wakipeana ushauri! na alikuwepo kama nani...
  3. L

    Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

    Lunyungu, Usipindishe hoja, anayeweza kujua maongezi kati ya mke na mume wake, mara nyingi anaweza kuwa "house boy" au "house girl". Ule ulikuwa mfano kwa kuwa uliandika taarifa kutueleza msawala ya maongezi kati ya mke na mume kuhusiana na kujihusisha na CCM. Kama hauko karibu na mfano...
  4. L

    Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

    Mimi huku naongelea Katiba ya Nchi na ya CCM inavyosema katika swala la kuanzisha Tawi nje ya Nchi, na ni katika kuwajibu au kuwafungua macho wachangiaji ambao walikuwa wanauliza uhalali wake kama unafuatilia mada. Hayo ya huko mimi siyajui, kama Ubalozi kweli ndio umefungua Tawi, basi...
  5. L

    Vyama vya Siasa na Matawi ya Ughaibuni

    Jamani wana JF ambao mko active na "threads" zinazoanzishwa, ningependa kuwaeleza kuwa, kama sikusahau, kabla sijajiunga na JF kwa kuwa nimekuwa nasoma hii "Forum" na nyingine muda mrefu; nakumbuka sana kuwa kuna wakati swala hili la kufungua Tawi nje ya nchi, na kwamba mume wa Balozi kuwa...
  6. L

    Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

    Mzee Mwanakijiji, he umekuwa msemaji wa wOrM? Malizeni mjadala halafu mseme bayana msimamo kama kulipwa au bure? Ni lini mtatoa mchango nchini kwenu kama mmeamua kuishi kibepari kwa maana chochote kinachofanywa, kiwe na consideration? Hebu kumbukeni "Kijana aliyepewa chakula na Kijiji...
  7. L

    Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

    Dr.WHO, hizo website hapo hata moja sio ya Serikali.Muwe munaelewa mada inayoongelewa. Nilizungumzia kama Balozi XX mteule alishindwa kuanzisha Website, na kwa kuwa unaona kuwa na Website ni kitu muhimu sana kwa maisha ya Watanzania, basi ujitolee kuanzisha moja. Wewe ukapost a series of Jambo...
  8. L

    Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

    Sawa tuseme basi alishindwa kutengeneza hiyo website kwa sababu moja au nyingine. Wewe kama Mtanzania, huoni kuna sababu ukajitolea kutengeneza Website ya Ikulu, na itakufanya pia ujulikane zaidi ya Utanzania wako! Jitolee bwana usiwe kama hao walioshindwa kama unavyosema.
  9. L

    Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

    Wana JF, kwa kuwa wenzenu tuko huku Bongo, pengine tunafahamu mambo mengi ya huku kuliko ninyi huko. Taratibu za kuteua, kuapisha mabalozi wateule zinakuwa kama ifuatavyo. 1.Balozi mtarajiwa mteule huwa kwanza anachunguzwa kuanzia tabia,uhusiano,mwenendo,utendaji kazi wake,security...
Back
Top Bottom