Nyumba inavyumba vinne vya kulala ambapo moja ni Master Bedroom, Public toilet, Dinning room, Stoo, Jiko. Ukubwa wa kiwanja ni 30kwa25, Bei ni Milioni 30 top.
Kutoka Mbezi Mwisho yaani kituo cha daladala mpaka (site) sehemu husika ni kilometer 8
Mawasiliano 0718169877 elvinkamugisha@yahoo.com...
kwahiyo kondomu ndio itakuwa suruhisho? miaka nane na saivi arudi alikoanzia yaan atumie kondomu? au u serious Miss Chagga? apo ni mwendo wa yeye kuamua either kusuka au kunyoa,,,,,,,,,,,maaana ngoma atainyaka fasta kuliko maelezo
Yaani wewe ukiona mwanamke ameacha tabia fulani alafu gafla akairudia jua ndio mazima alafu kama anaanza kuzungumzia masuala ya pesa pesa kwa kila mara ujue apo anatafuta sababu ya kuachana na wewe............na siku zote mwanamke huwa akianza umalaya ni mpaka ukimwi anabeba maana anakuwa...
Nyumba inavyumba vinne vya kulala ambapo moja ni Master Bedroom, Public toilet, Dinning room, Stoo, Jiko. Ukubwa wa kiwanja ni 30kwa25, Bei ni Milioni 40 mazungumzo yapo.
Mawasiliano 071816977 au 0788574465 email. elvinkamugisha@yahoo.com
Note: Mteja anaweza alipia pesa yote kwa mara moja...
sindo na mimi nawashangaa mtu aliye serious hawezi kuuliza maswali yasiyo na msingi kama mtu uko na uhitaji unaweza piga simu ukaeleweshwa maana humu kuna mtu anataka eti niattach mpaka hiyo hati duh
sehemu hiyo ni Morogoro Road ukifika Mbezi Mwisho kuna magari ya kwenda uko Mbezi Makabe-Msumi A nauli ni shilingi miatano na ni kilometer 8 nane kutoka mbezi mwisho stend simu iliishiwa chaji hope umenielewa
wewe kweli hauko serious haufika site kuona sehemu na kujiridhisha umeshaanza kukurupuka na njia ya kutuma hiyo pesa..uko serious kweli wewe au ndo comedian at work
wewe kama uko tayari unaruhusiwa kufanya investigation na kila document zipo so suala la open space au lah utajihakikishia mwenyewe apa hakuna uswahili mkuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.