Nchi hii kabla ya 1995 ulikuwa ukiangalia wanaoweza kuwa Rais walikuwa almlst 30 watu committed yaan kwa uwezo
Mwaka 1980 wote walikiogopa cheo hiki
Sasa kianzia 2015 Cheo cha Urais hata wanafunzi wa Vyuo vikuu walichukua form Kisa Kikwete ame underperform
Uwa siandiki Mara nyingi
Kumbukeni wananchi
Chama kilijengwa kwa jasho na damu za watu! Na tukapata legitimacy kukemea kila kitu, tukakatishwa tamaa 2015 baada ya ujio wa Lowassa kugombea, tumeanza kupona pona maumivu na makovu! Mauzauza yanaanza Tena kututonesha! Itakuwa tukio la pili la...
Kila Chama cha siasa nchini kina mapungufu makubwa sana na mengi . Ntamshangaa Mtanzania anayedhani Chama anachounga mkono hakina mapungufu!
Nakuja Kwa CHADEMA Chama changu amabcho naamini sana katika falsafa zake kina mapungufu Kama vyama vingine
Ambayo sitayaweka hadharani ila Kuhusu Suala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.