Recent content by lwa kalolo

  1. lwa kalolo

    JamiiForums Tanzania Nyufa ni kubwa sana hata mfiche vipi, CCM matatani

    maandiko yanatimia mda c mrefu kifo cha ccm kipo karibu sana
  2. lwa kalolo

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu anaumwa

    naomba isiwe kweli mungu wangu
  3. lwa kalolo

    JamiiForums Tanzania Kwa namna Tundu Lissu alivyoieleza Mahakama kukiukwa kwa haki zake, Waziri wa Mambo ya Ndani na Mkuu wa Magereza wanapaswa kujiuzulu ama wakamatwe

    wanafanya hayo kwa maelekezo naisi mama mwenyumba kashika usukani mkamateni anakamatwa mwachieni anaachiwa
  4. lwa kalolo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Chilo awasaidia wananchi wake Kukuna nazi na Kupeta Mchele

    mambo haya utayaona tazania na kwa ccm
  5. lwa kalolo

    JamiiForums Tanzania Natafuta conection ya kazi ufundi wa magari

    dar sehemu gani boss nieleze vizuri
  6. lwa kalolo

    JamiiForums Tanzania Natafuta conection ya kazi ufundi wa magari

    Habari ndugu zangu ,mimi ni fundi wa kunyohosha magari yaliyopata ajari (car body repair )sikusomea darasani ila nilijifunza mtaani na ni mzoefu sana kwa kazi zifuatazo kufanya setting ,kunyohosha,kuchanganya rangi ,kupulizia rangi mimi niko mwanza natanguliza shukurani
  7. lwa kalolo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Mbeya atoa TSh 5 Milioni kwa atakayetoa taarifa za Mdude, aagiza Polisi kuwasaka waliomteka

    jeshi lako ndo limetekeleza hoda yako
  8. lwa kalolo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hoja sita CHADEMA, Madai ya makada wake kukamatwa na kupigwa

    yaani molilo achukuliwe atua?hii serikali ya huyu mwanamke haina uwezo huo maana wote wanalindana alafu ujue toto baya ila c kwa mamaye
  9. lwa kalolo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa fanya kazi yako, unapwaya sana halafu sijui kama unaona au makusudi?

    msajili ni mwana ccm kama zilivyo mahakama napolisi hivyo yuko pale kwa maelekezo
  10. lwa kalolo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeoa wiki mbili tu zilizopita lakini tayari nimechoshwa na maisha haya

    beijing inafanya kazi hiyo dawa ni kumpotezea tu
  11. lwa kalolo

    JamiiForums Tanzania Fadhili Maganya: CCM Tutatumia Silaha Nzito Sana Kuushinda Kitakatifu Upinzani. Hatuna Huruma na Mpinzani Dhaifu.

    hata ww uliyeandika post hii unajua kuwa unaandika yasiyo kweli chama kisichopendwa nchii hii ni ccm ila kinapendwa na polisi na mafisadi tu
  12. lwa kalolo

    JamiiForums Tanzania Apigweee PK Apigweee

    Yule mnyarwanda ana chokochoko sana
  13. lwa kalolo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka'

    Huyu Babu kapewa Chaka bovu
  14. lwa kalolo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: CCM ni chama kikubwa hakiwezi kuamrishwa na 'Kibaka'

    Huyu Babu kapewa Chaka bovu
  15. lwa kalolo

    JamiiForums Tanzania Mada ya wanyama

Back
Top Bottom