Recent content by luvcyna

  1. luvcyna

    Tusitengeneze hamaki: Hizo kura feki zinapigwaje?

    Swali la kijinga kweli yani, so ili kura ipigike ni sharti uwe kwenye kile kibox? Yani watu wanajitoa ufahamu kwa mambo ya kijinga kweli yani
  2. luvcyna

    Tusitengeneze hamaki: Hizo kura feki zinapigwaje?

    Wananchi wapo? Wanatoka wapi na wametangaziwa wakishapiga kura waende nyumbani? Hembu nikuulize, kwa hiyo unadhani hizo kura fake ziko kwa ajili gani? Za maonyesho au? Kwamba wahusika wawe na kura feki halafu wasijue wataziingizaje? Unawezaje kutuuliza sisi wakati wenye kura feki ndio wanajua...
  3. luvcyna

    Uchaguzi 2020 Wito: Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi na timu yake yote wajiuzulu

    Wewe kama nani? Kama hukuona si ni shauri yako unampigia nani kelele hapa
  4. luvcyna

    Nimelazimika kusubiri mazishi ndio tujaribu kuangalia ukweli wa kifo chake

    Umenena vyema, ila usingizi walionao wangeamka wote kwa pamoja nyakati hizi wangeupata ukombozi wao wenyewe. Hiki ndio kipindi waandishi wana umuhimu kuliko kipindi chochote kile lakini wameshindwa kukitumia. Yaliyomkuta Kabendera yalipaswa kutolewa majibu kipindi hiki kuliko wakati mwingine...
  5. luvcyna

    Nimelazimika kusubiri mazishi ndio tujaribu kuangalia ukweli wa kifo chake

    Bila kusahau Kifo cha mama yake na Mwandishi aluyebambikiwa Kesi na mpaka kufikia kumuomba Raisi amuachie mwanaye huru. Ni ajabu waandishi bado hawaoni kuwa hawako Huru
  6. luvcyna

    Nimelazimika kusubiri mazishi ndio tujaribu kuangalia ukweli wa kifo chake

    Daah Wauwaji wa Lwajabe ndio unawakuta wametamalaki katika Kampeni za wakati huu.
  7. luvcyna

    Tetesi: Ni kweli kwamba Mkurugenzi aliyehusika katika tukio la mauaji Itigi ni mtoto wa dada yake Rais Magufuli?

    Huyu mtoto wa dada alipata kesi ya mauaji Kanisani, haijapita mwaka Dotto naye kapata kuhusika katika chain ya maswali tata juu ya kifo cha Lwajabe, hii familia inatatizo gani na damu za watu
  8. luvcyna

    Nimelazimika kusubiri mazishi ndio tujaribu kuangalia ukweli wa kifo chake

    Machozi ya kifo hiki yakafutwe katika uchaguzi huu, shime ndugu zangu Watanzania, ukawe mwisho wa mauaji haya
  9. luvcyna

    Tetesi: Ni kweli kwamba Mkurugenzi aliyehusika katika tukio la mauaji Itigi ni mtoto wa dada yake Rais Magufuli?

    Wapwa wametamalaki Kipindi hiki cha miaka mitano, hivi niulize ni huko tu mjini ndio watoto wa dada zetu wanavimba au hii familia ya huyu bwana? Hivi hana mtoto wa kiume angalau angewacontrol watoto wa dada kama alivyofanya Riz wakati ule??
  10. luvcyna

    Siasa za Kamanda Muroto na Kifo cha Sheikh Rashid Bura

    Waislamu bado tunaomboleza kifo cha Sheikh wetu Bura. Shime tukajibu vilio vyetu
  11. luvcyna

    Uchaguzi 2020 DC Kanoni: Marufuku sherehe za harusi na makongamano hadi baada ya uchaguzi

    Hapo walipo wanatamani hata ibada za wenzetu wakristo isingekuwepo leo
  12. luvcyna

    Uchaguzi 2020 DC Kanoni: Marufuku sherehe za harusi na makongamano hadi baada ya uchaguzi

    Hii Lissu aitumie vyema kufafanua umuhimu wa Uhuru wa wananchi kufanya mambo yao bila kuingiliwa na watawala. Uhuru, Haki na Maendeleo sera bora kabisa katika zama hizi za utawala wa kidikteta
Back
Top Bottom