Hapa Jf namba ya nn?? Acha kuongelea huko kwe magroup...huko kuna washikaji zangu, ndugu n.k
We unanijua?? Na unaweza jua km mimi ndio yule tupo kwenye group moja la whatsapp?
Ila amin nakwambia nikikuandia namba yangu hapa...utajua jina langu, picha zangu halis na taarifa nyingne...na utaweza...
Juz kati nimepoteza muda wangu kukuckiliza Bw. Bashite nikifiri labda utanena jambo la mbolea......yaani mmmh, we fanya kurudia tu O-level !!
Yaani swali fupi na dogo tu unaulizwa...unaanza kuleta habari za kuconnect doti, mara oooh kipindi nipo wapi niliwahi kusomea mambo ya nn...
we Mtahengerwa uzuri nakujua vizuri...akili yako haipo sawa!! Niliwahi kukuona kijijini Malangali !...sasa get your head out of your ass and use it!!
Hii nchi ingekuwa hakuna ma mbu mbu mbu wengi km wewe tungekuwa mbali...
Yaan unatetea upuuuzi....
Weweeeee....sio anaifanya Serikali ionekane inafanya visivyo katka rambi rambi, Habari ndio hiyo! Serikali ionekane mara ngapi???? Serikali ya TZ kwa sasa HAIFAI KUIKABIDHI MICHANGO YA RAMBI RAMBI!! na huyo Gambo ni sehemu ya serikali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.