Mimi binafsi namwona Lowassa ni moja kati ya viongozi bora kabisa katika dunia ya sasa.Lowassa akitamka neno moja tu nchi nzima inasisimka.Nawashangaa watu wanaomtakia mabaya kiongozi huyu kumsema vibaya wakati wanajua mtu ambaye kwa sasa angesemwa vibaya ni waziri mkuu na serikali yake ambao...
Tangu Lowasa atangaze kuhamia CHADEMA na kuteuliwa kugombea urais,siasa za mkoa wa Njombe zimebadilika sana tofauti na huko Nyuma.
Kwa sasa kila mtu ukimkuta jina Lowasa ni jepesi kutamkika.Watu wengi wa vijijini waliokuwa wafuasi wa CCM,kwa sasa habari kubwa ni Lowasa.
Wengi hawataki kumsikia...
acheni uwongo kwamba wanachama wamehama 500 na kuchoma kadi.Ludewa si rahisi kuwa na wanachama wengi kiasi hicho kwa eneo hata kama pangekuwa ni mji mdogo kama Ludewa mjini.Idadi hiyo ni kubwa mno.Mleta mada ni mhuni wa kawaida tu.
kwenye kampeni za uchaguzi mwaka huu,hakika kutakuwa na kila aina ya raha.Najaribu tu kuona jinsi vikosi vya mapambano vitakavyokuwa:
UKAWA
1.EDWARD LOWASA
2.PROF.LIPUMBA
3.DR.SLAA
4.JAMES MBATIA
5.DR.EMMANUEL MAKAIDI
6.FREEMAN MBOWE
7.JUSA
8.MAALIM SEIF SHARIF
9.TUNDU LISU
10.HALIMA MDEE...
Ajitahidi kupunguza kiwango cha makato ya kodi kwenye mishahara ya watumishi pamoja na kuwatafutia ajira vijana wanaomaliza shule na vyuo.Hili bomu kubwa kwa taifa letu kama hawa vijana watakuwa hawana ajira.
Baada ya uamuzi mzito wa wa Jemedari wetu mpendwa Kamanda Lowasa kuhamia rasmi CHADEMA, maelfu ya waliokuwa wafuasi wake mkoa wa Njombe jana walimiminika kwenye ofisi za mkoa Njombe wakiomba kujiunga na chama. Kwa bahati mbaya kadi zilikwisha mapema.
Hadi kufikia jana jioni zaidi ya watu mia...
Hii ni hotuba bora kabisa.Haijawahi kutokea tangu baba wa Taifa hili atutoke 1999.Dr.umetuwakilisha vizuri mno.Hizo ndizo hotuba tunazozihitaji Watanzania wa sasa.Mungu akulinde kwenye safari yako yote.
Mimi binafsi siamini kama Mtu anayejiita Godlisten Malisa ni mwana wa chadema.Unawalaumu wenzio kwa kuandika kwenye mitandao ya kijamii mbona wewe pia umeandika huko huko.Mnatuharibia chama chetu acheni hizo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.