Recent content by Luton4554

  1. L

    JamiiForums Tanzania Posta - Salender (1.8km) ila unakaa masaa 2 kwenye foleni

    Mwendo kasi wa Tegeta utaisha 2030 labda. Pace ni ndogo sanaa mkandarasi wa familia kashindwa SGR huko wakampa uwanja wa mpira arusha hajashindanishwa na mtu. Mtu huyu huyu ajenge reli ajenge brt ajenge uwanja. Ukiona RC na Waziri wamegomba wakaita waandishi wa habari ujue wanamkumbusha hela...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Posta - Salender (1.8km) ila unakaa masaa 2 kwenye foleni

    2026 miaka karibu 70 ya uhuru. Je wakoloni wangekuwapo mpaka leo ingekuwa hivi?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Tanzania hili hapa

  4. L

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Abiria wa Mwendokasi tuliotakiwa kutoka Kivukoni kwenda Kimara, Dereva katupeleka Morocco kisha akaturudisha Kivukoni

    Kwa hali ilivyo mwendokasi (Kivukoni - Kimara) Bora mwingereza angebami kututawala tuu. Labda tungefika mbali. Hali ni mbaya kuliko
  5. L

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Go East go West! Airtel is the Best! 3GB kwa 2000 daily with good speed
  6. L

    JamiiForums Tanzania New Elephas Projector for sale

    Boxed Imported 1 week ago! -Native Resolution: 1280 x 800 pixels -Lamp life: 50,000 hours -Contrast: 3,000:1 -Keystone: Manual correction ±15° -Projection size: 44 — 200 inches -Aspect ratio: 4:3 / 16:9 Price : 400,000 Negotiations Accepted Contact me :0693341234
  7. L

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale HP laptop inauzwa

    Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. L

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale HP laptop inauzwa

    Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. L

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale HP laptop inauzwa

    Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. L

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale HP laptop inauzwa

    Ina dent kidogo as seen kwenye picha Used 3 months only Price: 350k Contact: 0693341234 Sent from my iPhone using JamiiForums
  11. L

    JamiiForums Tanzania A Journey to the smart world: Ifahamu teknolojia ya Artificial Intelligence na utendaji wake wa kazi

    Kama umesoma Computer Science siyo I.T! Alichoandika jamaa huwez kuielewa. In short ameongelea 3 things only ila kavipigilia nyundo na mbwembwe nyingi sana! Just know subsets za AI na uzisome. Alafu vidadavue. Huku tunaletewa vile vipande vitamu kusikia na vilaini kwa watu ila vina changanya...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Airtel Money: Dangerous network (iPhone users)

    Airtel Money menu haifanyi kazi. Wanalijua hilo na wanashauri utumie app. Ukitumia app kutolea hela au kununua bundle hela zinapotea (unapata message hela imekatwa ila hamna bundle na ukitoa hela kwa wakala haupati message yeyote "wewe au wakala" ukicheki salio hela imeenda) na app ina crash...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Puma Tangibovu wameniibia mafuta?

    Huwa najaza puma africana PUMA! Total and puma ndo wako Poa always ila hawa wa Tangibovu something is very wrong. Bora hata hizi shely za njano kuna mmoja near shoppers masaki wakiweka wese hata la elf 10 unaona mshale una move! I know my car siwez kuharibu biashara ya watu au kupoteza muda...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Puma Tangibovu wameniibia mafuta?

    Mm na ki IST changu najua budget yangu kwa week so huwa kimshale kikiwa E nikiweka mafuta ya 40,000 najua yanafika wapi. Leo mchana mmenichapa ndo mnisahau tena. Huwa naweka puma ya Afrikana ila nina mashaka na wote sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Sent from my iPhone using JamiiForums
  15. L

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Iphone 6+ inauzwa

    Text me your price 0693341234 ~128 GB ~Looks new ~83% Battery health
Back
Top Bottom