Recent content by luthesian

  1. L

    Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi

    Aisee mimi mwenyewe nlikua naingia jamii forum kwaajili ya kuangalia Ideas hasa za ujasilia mali...na ule uzi ulikua msaada mkubwa sana kwangu,nmejenga mabanda lushoto na nmeweka Nguruwe nane kwa kuanzia...napenda sana vjana tukipeana njia za kujikomboa wenyewe...Shukrani sana kwa aliye leta ule...
  2. L

    Sababu za kuporomoka kwa sarafu ya Tanzania dhidi ya fedha za kigeni hizi hapa

    Umemaliza kaka acye taka kuelewa anafanya kusudi tu...
  3. L

    Kiwanja kinauzwa Buswelu, Mwanza

    Sasa nikutafute wakat sijui hata bei ya kuanzia...weka mambo waz bwana...!!!! Haya ndo matatzo ya kudalalia vitu.
  4. L

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Halafu upuuz anao ufanya wa kuwapa baadh ya vijana pesa hasa waendesha bodaboda ili wampigie kampain...kwa kujifanya et wanamwomba agombee...uyu mzee anataka kufanya wa tz hamnazo kwel.
  5. L

    Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Dah...uyu mzee sjui mchawi jaman,au nguv ya pesa???...hv EL kaifanyia nn hii nch haswa mpaka watu wanamkubali kiac hik bila kujali kashfa kibao za ufisadi na uddmizaji wa nch alio ufanya kipnd akiwa kiongoz wa wizara mbalimbali...mbaya zaid akiwa Wazr mkuu...madd yote yamefanyka chn ya uongoz...
  6. L

    Queen Latifah bikini pics....damn she fine too bad she lesbo

    Nlidhan kiboko kasimama...
  7. L

    Lowassa Atabiriwa Kuibuka Rais wa JMT... Mtazame hapa..

    Ona mambo yao sasa...yaan yana waza ubinafc pekee...iv mijiti kama ii bado ipo jaman???...anaepgiwa kura n lowasa au monduli???
  8. L

    Pozi la ufukweni hapana chezea

    Nimefungua kwa speed kudadeki....
  9. L

    Ufanye nini? Tiba ya midomo mikavu

    Ok...ila lita tano za maji....!!!!!
Back
Top Bottom