huelewi maana ya shujaa kabisa wewe 🤣 kwa list angeanza Nyerere aliyesababisha leo uitwe mtanzania pili karume aliyesababisha leo tuwe na muungano wa taifa moja
Tatu ni mwinyi aliyesababisha leo uitwe chadema na act bila yeye no chadema no act
Nne Magufuli aliyetuondolea aibu ya ufisadi na...
kwa jeshi la Tanzania cheo kikubwa cha kijeshi ni general ikifuatiwa na major general
Kuhusu mafunzo mafunzo muhimu ni Military defence and intelligence MDI
Uteuzi wa Mkuu wa majeshi hatuangalii cheo cha kijeshi bali uzoefu wa kijeshi na pendekezo la rais
Tiss kirefu ni Tanzania investigation...
mnatuona wajinga sana list ya millionaire ipo kwenye Wikipedia tangu lini ivory coast izame kwenye list harafu watu wa kibera slum hawaingii kwenye list wanaoingia ni wamarekani wanaofanya biashara kenya acha upuuzi bwege wewe 🤣🤣🤣😂😂😂💤🦍🦍🦍🦍🦍🦍
Nilikuwa nafuatilia sana bunge lililopita na nikasikia kabudi amesema kwamba hakuna vita tulivyo shindwa katika historia alitaja nchi kadhaa ambao JWTZ wamewahi kufanya operation.
Katika diplomasia ya mataifa mbalimbali neno linalohusisha matukio ya jeshi humaanisha kwamba serikali iliyopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.