Tume imeanza kutangaza matokeo halisi ya urais kutoka kwenye majimbo kadri wanavyoyapokea, ambapo hadi sasa tayari matokeo ya majimbo matatu yameshatangazwa yakionyesha John Pombe Magufuli anaongoza.
Kwa upinzani makini ni wakati mwafaka muwe mnatoa tathimin ya matokeo hayo. Tathmini yenu...
Wakati wa kampeni za uchaguzi wa mwaka 2010, aliyekuwa Mnadhimu wa Jeshi hilo Luteni Jenerali Abdulahman Shimbo aliitisha mkutano na waandishi wa habari na kuvitaka vyama vya siasa kutokugomea matokeo ya uchaguzi kwa madai ya kulinda amani ya nchi.
Kauli ile ya Shimbo ilichukuliwa na wengi...
CCM imetekwa na vijana wasiokijua chama wazee na waasisi hawathaminiwi, vijana wameachwa wafanye wanachotaka, Nape anawatukana wazee kina Lowassa hata hakemewi Makonda anampiga ngumi mzee Warioba kesho yake mwenyekiti wa chama anampa u DC kuna chama hapo?
Ndugu wanajamvi,
Najaribu kuangalia na kulinganisha utendaji kazi wa vyombo hivi vitatu muhimu vya serikali.
Jana tumemsikia IGP Mangu akikiri kuwa ni kweli kuna baadhi ya maofisa wa jeshi la polisi wameripotiwa kufanya uhakiki wa vitambulisho kwa askari wake kujua iwapo wamejiandikisha...
Kuomba hifadhi haina maana ya kupata msaada 'physical benefit' tu bali kuuanika utawala dhalimu unaojificha chini ya kivuli cha amani, utulivu na demokrasia ya vyama vingi huku matendo yao yakiwa ni kinyume kabisa, faida nyingine ni ku-draw attention kwa mashirika mbalimbali ya kimataifa...
Kwanza, ukiangalia kwa umakini lile bomu lililenga kumuumiza au kumuua kabisa Mbowe na ukirejea sms ya mkuu wa mkoa Arusha kuwa atamtafuta Lema kwa njia nyingine, basi utakubaliana na mimi kuwa anaweza kufanywa chochote na serikali hii.
Pili, kujisalimisha kwenye balozi si woga bali ni strategy...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.