Recent content by lustakij

  1. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa Amjibu Slaa

    Kwani ili fisadi au mwizi ashitakiwe ni mpaka awe mgombea uraisi?? Unamaanisha kwa kuwa hao wengine hawagombei ndo sababu yakutotajwa au kushambuliwa/kushtakiwa????
  2. L

    JamiiForums Tanzania Magufuli alia kwa wananchi kuikataa CCM aomba msaada kwa maofisa wa CCM

    Najaribu kuvuta picha,,, ivi angekuwa membe ndo mgombea wa ccm ingekuwaje....
  3. L

    JamiiForums Tanzania Bunge litavunjwa lini?

    Kama sikosei alisema atalivunja tareh 20/08/2015... lakin haijulikani kama kalivunja au la...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wagombea 30 ubunge wa CCM waliopitishwa kujiunga na UKAWA Jumamosi

    Kumbe ndo style yake yakuoga!!!... kuoga huku ukiwa umevaa nguo
  5. L

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya wagombea 30 ubunge wa CCM waliopitishwa kujiunga na UKAWA Jumamosi

    Kwa hiyo huwa unaogaje mkuu...?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Malori ruksa kubeba watu kwenye kampeni za CCM

    Leo nimeona UDA mbili zikibeba watu mabwepande wakipelekwa jangwani...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu ACT-Wazalendo yakutana Double Tree Hotel, Dar - Agosti 15, 2015

    Lete za ukweli mkuu
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    Mwagaaaaaa
  9. L

    JamiiForums Tanzania VVU haionekani baada ya kupima tena

    Mkuu haya mambo yapo aisee!!, ule uzi wa jamaa anaitwa decemption niliusoma bt ckuwa naamini sana, bt kwa bahati mbaya au nzuri ndani ya siku c Nyingi nimekuja kushuhudia kutoka kwa mhusika; Ni hivi, kuna familia (baba, mama na mtoto wao mdogo kabsa) walikuwa wamepima na wote kugundulika...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Toa matokeo, siyo hongera tuu,, toa taarifa kamili
  11. L

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa madiwani wa CCM Arusha Mjini, wahamia CHADEMA

    Samahani mkuu, ivi Esther bulaya na lembeli ni wa kanda ipi vile!!
  12. L

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) alipohudhuria sherehe ya kimila ya Wasafwa

    Maajabu gani mkuu, tiririka basi tupate japo kidogo,,,
  13. L

    JamiiForums Tanzania Lowassa na wapambe wake watoweka Dodoma

    Nimekuelewa sana mkuu,,, nimeupenda ujumbe wako
  14. L

    JamiiForums Tanzania Vipeperushi vyasambazwa Zanzibar kupinga maamuzi ya CC

    Vp hakuna hata kapicha ka hicho kipeperushi? tuwekeeni plz
Back
Top Bottom