Recent content by LUSENDAMILA

  1. LUSENDAMILA

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tena: Mwenyekiti na Katibu wa Wilaya ya Magu wafukuzwa na uongozi wa Kanda!

    Huu ni ulimbukeni wa siasa ndugu zangu. Hivi kufukuza ndio dawa ya kusafisha chama! La hasha njia sahihi ni kuyafuta sababu za kwa nn wamuunge mkono na si maamuzi ya kamati kuu. Hapa lipo tatizo la msingi. Ipo siku Slaa nae atafungasha vilago vyake maana sasa ni zamu yake kufukuza viongozi...
  2. LUSENDAMILA

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Kata ya Maji ya Chai - Arusha yafungwa...

    Mbunge hana uwezo wa kupeleka maji kwa wananchi ww sema serikali imesikia kilio cha mbunge na kupeleka maji kwa niaba ya wananchi. Unajua miradi hiyo ya maji imeghatimu bei gani? Je muulize mbunge wsko kama fedha hizo anazo au aluwahi kuota kuzipata. Acha ushabiki bila tafakuri mzee
  3. LUSENDAMILA

    JamiiForums Tanzania Zitto kufukuzwa CHADEMA siku chache zijazo

    Ushabiki bila kujua chanzo cha mgogoro ni upofu.
  4. LUSENDAMILA

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Dr Slaa ;Ujasiri wako unatisha

    Huna akili ww unaepongeza ujinga
Back
Top Bottom