Recent content by lusekelo ephraim

  1. lusekelo ephraim

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kshs. ina thamani kubwa kuliko Tshs?

    Kwacha naskia wamebadili pesa zao mfano ile iliyokua kwaxha 1000 sasa inaitwa kwacha 1, iliyokua kwacha 10000 sasa ni kwacha 10 nakuendelea. Fuatilia hata tarehe za hizo fedha ni za miaka ya karibuni tofauti na zile za zamani ambazo hazikua na thamani dhidi ya tsh
  2. lusekelo ephraim

    JamiiForums Tanzania Mji upi ni zaidi ya mwenzie kati ya Arusha au Mwanza

    We ndio hamna kitu kabisa yani unafananisha Arusha na vitu gan?
  3. lusekelo ephraim

    JamiiForums Tanzania Simu gani itanifaa Kwa laki tatu na nusu

    Xiaomi yoyote ya bei hiyo, hutojutia
  4. lusekelo ephraim

    JamiiForums Tanzania Niliidharau sana Fiat kumbe ni kampuni hatari

    Mi nilikua nayaogopa sana hasa ya mafuta, yalikua yananijia pia ndotoni[emoji23][emoji23][emoji23]
  5. lusekelo ephraim

    JamiiForums Tanzania Battle: Mwanza (The Rock City) Vs Arusha (A-Town/Chuga)

    Mwanza amna kitu kule hebu tuambie kitu gani unique kilichopo kule ukianzia majengo marefu hoteli kali na kumbi kubwa za starehe, Mwanza ni mji uliojaa washamba tu
  6. lusekelo ephraim

    JamiiForums Tanzania Risk ya mchawi kujigeuza mnyama...!

    Hahahaa nomaa
  7. lusekelo ephraim

    JamiiForums Tanzania Napata wapi tena salary slips baada ya kugoma kupatikana mtandaoni?

    Jaribu kuingia kwa kutumia browser nyingine inawezekana inaload previous page ambayo ilikataa
  8. lusekelo ephraim

    JamiiForums Tanzania Hivi hili basi la Arusha Express halina kidhibiti mwendo au ndo uwezo wa Scania.

    Jamaa aliwahi kuwa ba basi nzuri sana enzi hizo Andare na torino zinatamba
  9. lusekelo ephraim

    JamiiForums Tanzania Kwanini nilijikuta nawaza kuwa mzamiaji!?

    Bado sijatoka ila nna plan ya kutoka sio muda
  10. lusekelo ephraim

    JamiiForums Tanzania Kwanini nilijikuta nawaza kuwa mzamiaji!?

    Wazamiaji tupo wengi kumbe
Back
Top Bottom