Recent content by LUSA

  1. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

    asali inasaidia mtu aliyefanyiwa upasuaji wa tumbo?anatumiaje
  2. L

    JamiiForums Tanzania Niende Argentina na Mzungu?

    Kama unaweza kubaki nae TZ ni vizuri zaidi ,si nchi nzuri kwa wageni hasa kupata kazi,maisha yao yako chini huenda hata Tz tuna nafuumpia unaweza kunyanyasika ukawa mtumwa kwenye nchi ya mbali
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu, hivi utakapo gundua House Girl wako

    Kaka kemea pepo la tamaa la ngono linakunyemelea.mpende mkeo kama ndio siku za mwanzo za ndoa yenu,mjali,mtoe out ,mfundishe mapenzi kama unaona kuna mapungufu,mrekebishe kwa upole anapokosea.sidhani kama unampenda kwa dhati mkeo utamwazia mwanamke mwingine.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Talwa

    Tawla hawana ubaguzi wewe nenda ilala Bungoni kama sikosei jumatatu na jumatano wanatoa ushauri wa kisheria,
  5. L

    JamiiForums Tanzania Kumpiga mke

    maisha ya ndoa ni kupendana,kuvumiliana na kuchukuliana ,je ina maana wewe huna vijitabia vinavyomkera mkeo?au wewe ni malaika?
  6. L

    JamiiForums Tanzania Msaada.mwanasheria wa kujitolea

    My learned brothers and sisters,mimi ni mhitimu wa degree ya sheria nimetafuta kazi bila mafanikio,yeyote mwenye kuweza anisaidie nipate japo nafasi ya kazi ya kujitolea ili nipate experience
  7. L

    JamiiForums Tanzania Hodi

    Hodi mpaka ndani wanajamii
Back
Top Bottom