Wewe pia huwenda ukawa umelielewa tofauti tangazo hilo. Kwa uelewa wangu mdogo ni kwamba, hawajatangaza tarehe rasmi ya kutoa selection ila mwisho wa kuwasilisha majina ni tarehe 22 baada ya tarehe 22 ndio selection zitatoka, pengine inaweza ikawa 23,24,25,26......
Mkoje na hali Wakuu wa JF?, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo huu, binafsi na kwa maslahi ya wengine wasiofahamu hili nilikuwa naomba kufahamishwa ni lini selection zitatoka kwa waliotuma maombi vyuo vya mifugo na uvuvi ambapo udahili wao ulifungwa tangu July 30..
Sent using Jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.