Recent content by LUPONDE

  1. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hai yaendelea kusambaratika

    Heeeeh tenaa kwa mwenyekiti????
  2. L

    JamiiForums Tanzania Agizo lingine la Serikali ya Magufuli lapuuzwa

    Kwani umelazimishwa kumpeleka mwanao hapo? Shule ziko nyingi sanaa tena ada nafuu.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo aiagiza TANESCO ishushe bei ya umeme

    Umeona hyo msg nililipa kwa mpesa
  4. L

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo aiagiza TANESCO ishushe bei ya umeme

    Kaka umeona nililipa kwa mpesa
  5. L

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo aiagiza TANESCO ishushe bei ya umeme

    Hakika huwezi amini ndivo ilivyo nmenunua jana tena 13300 nmekatwa tax kama elfu saba na point
  6. L

    JamiiForums Tanzania Profesa Muhongo aiagiza TANESCO ishushe bei ya umeme

    Jamanii naomba msaada wenu nmenunua umeme wa 15000 nimepewa unit 2.64. Nimekatwa 5520 service charge, Tax 8874 kweli jamaniii hii ni haki?
  7. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hakueleweki. Viongozi wafungiwa milango. Watakiwa kujiuzulu kwa usaliti

    Kwa wao c viongozi hata kama ni kata? Gazeti liko sawa
  8. L

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni

    Swali masonga hakununua wajumbe wakati wa kura za maoni?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mikoa sita (6) kapuni uteuzi wa baraza la mawaziri

    Tatizo kubwa watu wa kaskazini mnapenda kila kitu mfanyiwe nyie ndo tabu yenu. Leo wamepewa watu wa kusini mnapiga kelele.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Fedha ya kugharamia elimu bure ilipitishwa na Bunge gani na ni kutoka fungu gani la Bajeti?

    Kilichofutwa ni ada, hela za mitihani, mishahara ya watumishi wasio walimu kama walinzi,wapishi kwa shule za bweni, michango ya madawati n.k
  11. L

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Magufuli kufanya kazi na misururu ya waandishi wa habari na TV

    Jinga sana wewe Unataka wananchi tusiwe tunapata news?????
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na wafanyabiashara, atoa siku 7 kwa waliokwepa kodi kujisalimisha na kulipa

    Nimekuwa nikikufuatilia sana finally nikagundua I'm wasting my time. Hakuna la maana unalopost
  13. L

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kuchelewesha sana Baraza la Mawaziri

    Huyo cyo raisi mteule bhanaaa
  14. L

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Kasi ya Magufuli, Majaliwa imeipa Uhai CCM

    Ccm ile ile
  15. L

    JamiiForums Tanzania Msiba wa Mawazo: Rais Magufuli hata pole ya maneno imemshinda?

    Pole ya nini wakati mmesema hamumutambui kama raisi.
Back
Top Bottom