Recent content by Luperman

  1. L

    Arusha: Chuo Kikuu cha St. Joseph chafungwa kwa muda usiojulikana

    pole sana bruno kwa kusoma miaka yote dmi na kutojua kama iyo idara si ya kikatoriki, mimi nilikuwa st joseph iyo ya arush intake 2014 lakin niliterminate kwa ajili ya uozo wa hko chuo na tulifuatilia mpaka Tec dar na walisema hawakitambui kama ni chuo cha kikatoriki na hata baraza la maaskofu...
  2. L

    Taja chuo unachopendekeza Mh. Rais ashtukize

    Aende St Joseph Arusha Campus
  3. L

    Taja chuo unachopendekeza Mh. Rais ashtukize

    Atembelee st joseph university arusha campus
  4. L

    TCU/NACTE application 2015/2016 for undergraduate

    USHAURI WA BURE ; Tcu imetoa majina ya wanaotakiwa kufanya second round, endapo ukitemwa ili ufanye second round usichague st joseph university arusha campuc au tawi lake lolote hata kama itakuwa pekeake kwa maelezo zaidi nicheki hapa 0653474767
  5. L

    Hali yarejea kawaida St. Joseph University Arusha

    hawa wahindi wana akil kwel wanatoaje nots ya chuo kufungwa bila utaratibu wowote leo
  6. L

    HESLB maombi awamu ya pili

    Hakuna awam ya2 ila Muda umeongezwa hadi tarehe 31 july
  7. L

    ipi bora kati ya kupitia technical college au kwenda advance?

    Advance utapoteza muda wako bure pia kufail ni nje nje, nakushauri nenda tech
  8. L

    Ulizia hapa kuhusu Shule uliyo chaguliwa 2014/2015

    Niulize mimi kuhusu bariadi sec kama umechaguliwa hapo
  9. L

    Nisaidieni, Akili yangu ipo kama imefungwa

    Hiyo panic Ya kuona wenzako wamekta mitopic cha msing sali sana kwa iman yako, pia fanya mazoez kila cku jion, kwa muda uliobak solve sana maswal kwny vitab kama chand 5 na 6, pure 1na2, tranter, roger na pia soma concptuals
  10. L

    Tatizo la kutoka mkojo bila kujua

    Polen sana Mungu yu pamoja nanyi
Back
Top Bottom