Recent content by LUPEM

  1. L

    Kuna dalili za kuchelewesha mradi wa Bwawa la Nyerere ili tununue Umeme kwa watu binafsi na Kurudi kwenye Bomba la Gesi

    Yaan Ma Yaan Mabeyo atakuwa anajilaumu sana.Kumwachia nchi mama,halafu mama anaanza kuongozwa na JK.Ujinga kweli.Mara Mafuru amerudi.Mara makamba.Halafu vijana kibau hawana ajira.Halafu wanaopewa vyeo wenyewe ,hawana history nzuri ya elimu.
  2. L

    Uzee dawa: Msikilize Jenerali Ulimwengu

    Mimi nimeshauri vizuri. Maana naona anaongea utumbo tupu.Halafu hapati chochote.
  3. L

    Uzee dawa: Msikilize Jenerali Ulimwengu

    Yaan anapoteza muda mwingi ,anamwingelea MTU ambaye hayupo.Namshauri huu muda anaopoteza angekaa na wanafamilia wake ,amuombe Mungu wake.Kwa kuwa uzee umeshamkamata. ,
  4. L

    Bernard Membe: Kuna umuhimu wa kufanya vetting kwa viongozi wetu kuhusu uraia na afya zao

    Nimejaribu kuisoma hiyo habari hapo juu,nimeona ni uchafu na takataka.Hivi Marehemu Raid wetu Magufuli baba yetu,hawa watu wa hovyo hovyo watamweza kweli?Ahaaa wapi!!Hata wakiungana !!Kwa ufupi hata hill gazeti pia ni uchafu na taka taka.Eti Magufuli ni Mrundi?Ndio maana nyerere alikuwa hapendi...
  5. L

    Nape ataka Akaunti ya Deni la Taifa ichunguzwe na iwekwe bayana Fedha hizo zilikopwa na kupelekwa wapi?

    Mkuu nashukuru sana kwa analysis nzuri uliyofanya.Nape sijui hata kama anajua maths.Hivi vitu ni vya wataalam wa model za econometrics. Nape anaamini kuwa kupiga kelele sana ataonekana anafahamu.Nape sijui hata kujumlisha na kutoa anafahamu.Na hajui kuwa anajenga uadui na watu wengi zaidi.
  6. L

    Tunapenda sana kukuza mambo, naona kabisa hii kesi Mama hakuwa na details nayo. Haijui!

    Ww subiri ,hukumu itoke .Unapoanza kutoa hukumu ,wakati kesi bado,unatupeka kwenye hisia zako.Acha kesi ilindime ndugu.
  7. L

    Kama January Makamba ana mpango wa kugombea Urais 2030, namshauri akabatizwe kwa maji mengi mapema

    Hii nchi kweli imekosa mwelekeo .Mpaka January ambaye aliiba mitihani na kufutiwa matokeo nae anataka urais.Katiba mpya inatuhusu.
  8. L

    Swali chokonozi: Membe ni Jasusi Mbobezi au Doezi?

    Huyo si jasusi ,bali ni mpika majungu hodari sana.Ana miaka 68 bado hajitambui kabisa.Hapa bongo ,nchi yetu ni ya ajabu sana.Tunapenda kuwasifia wahuni wasio na uelekeo wowote.Eti jasusi mbobezi.Mbona hana hata uelekeo wowote.Hana tofauti na Mambe kimambi tu.
  9. L

    Membe amwaga siri Hayati Magufuli alivyomfitini na kumkosesha Ukatibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola

    Ukimwangalia Membe jinsi alivyo .Hana uwezo hata wa kuongea.Hana ushawishi wowote.Hana mvuto wowote .Mnamwita shushu mbobezi.Anaongea kama MTU asiye na elimu yeyote.Hawa wote wanaotoka mafichoni ni wale wanafiki ,ambao masilahi yao binafsi yaliminywa na Magufuri.Sasa wanatueleza ili tuwasaidie...
  10. L

    Ni wakati sasa wa kumuangukia Ridhiwan Kikwete na kumfikiria kwenye nafasi za juu hapo baadaye?

    Yaan mtoa,mada ,anaona Ridhiwan Kikwete,January Makamba ndio wanafaa kuwa viongozi.Yaan Tanzania ni ukoo wa Kikwete ,Makamba basi.Yaan vijana mageneous waliopo mitaani hawafai kabisa.Tunataka katiba mpya
  11. L

    Mzee Makamba: Mungu hashibi chakula anashiba Dua na ametusikia sasa mambo yanakwenda vizuri!

    Ila atulie ,na awe na akiba ya maneno.Mpira wa siasa unadunda.Tuombe tu uhai.Mungu ni wa wote.
  12. L

    Kwenye suala la Wamachinga, Rais Samia umevunja ahadi na umewasaliti Wamachinga

    Huyu alipopewa madaraka kwa njia katiba tu.Kuna kikundi cha watu ,ambao wanaamini wataishi milele.Na ambao wamekuwa wanamtukana Marehemu Magufuli kwa kutumia viredio uchwara. Wanaamini kuwa kuwafukuza wamachinga,ni kuharibu mambo ya JPM. Tatizo sio wamachinga, tatizo ni JPM.
  13. L

    January Makamba: TANESCO sasa wamesitisha miradi ya ujenzi wa maofisi na kuelekeza fedha kukarabati miundombinu ya Ugavi

    Majibu dha Majibu ya makamba ni dhaifu ,na yanadhibitisha kuwa hana uwezo wa kuingoza wizara .Anashindwa kujibu ,ideology anajibu mipasho.Eti awe Rais ,kwa kigezo kipi.?
Back
Top Bottom