Recent content by luogajunio16

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenifika sijui nichukue uhamuzi gan msaada wa mawazo ninaitaji

    Nashukuru kwa msaada wako wa mawazo lkn kabla ya kufikia hatua hii kubwa na kutangazika kwa hbr zaidi nilishawai zisikia hizi hbr na mke wangu nlimuoji na akasema mtoto ni wangu lkn yule jamaa aliwai tembea nae kipnd me nimeenda machimbo mara ya mwsho sbb nilikaa kipnd cha miezi 3 sikurud lkn...
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenifika sijui nichukue uhamuzi gan msaada wa mawazo ninaitaji

    Mke wangu wa ndoa kihalali lkn kesho ntaenda kupima DNA ya yule mtoto kwanza afu ntafata taratibu za kumshitaki yule kijana pia napenda niwashurukuru sana kwa mchango wenu wa mawazo ntayafanyia kazi yte
  3. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenifika sijui nichukue uhamuzi gan msaada wa mawazo ninaitaji

    Yule kijana kaongea na kaka yuko tayali ata kutoa pesa ya dna yan mbaka mimi.nashangaa katoa wapi ujasiri huu
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenifika sijui nichukue uhamuzi gan msaada wa mawazo ninaitaji

    Uyu kjana anajiamn sana mbka mimi nashangaa kapata wapi ujasiri huu
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenifika sijui nichukue uhamuzi gan msaada wa mawazo ninaitaji

    Kivip dada sijakuelewa:what:
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenifika sijui nichukue uhamuzi gan msaada wa mawazo ninaitaji

    Sasa mkuu ata ukimganda mtakula mawe ni bora utafute pesa kwanza pia npe ushauli mzr sio kunisimanga mwenzio nko kwa kipnd kibaya
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenifika sijui nichukue uhamuzi gan msaada wa mawazo ninaitaji

    uyu mke wangu nimeongea nae kanambia yule kjna katembea nae lkn cku za nyma kipnd me nko machimbo lkn Kasema mtoto ni wangu na yule kijana nae pia alifanya maongezi na kaka sbb nimeshindwa cz nina hasira sana lkn alisema mtoto ni wake na ata hela ya dna yuko tayali kulipa yye
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamenifika sijui nichukue uhamuzi gan msaada wa mawazo ninaitaji

    Me ni kijna wa miaka 30 nilibahatika kupata mtoto kipndi nina miaka 25 lkn baada ya maisha kua magum nikaenda machimbo kusaka chochote kitu ili familia yangu isife njaa lkn nikawa narudi mara kwa mara kwa mwenzangu kumpa pesa ya matumiz na kila kitu kinachoitajika kwenye ndoa na familia Lkn...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Mimi ndie mwanaume ninaeotongozwa na wanawake wengi kuliko mwanaume yeyote Tanzania

    Uyu nadhan kina martin kadinda wengne
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa biashara njooni mutupe na sisi maujuzi ili tugawane umaskini

    Daaah na hii post yako nimecheka sana yan lkn ntapenda nijue una deal na nn now.....:what:
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani nini cha kufanya maana sielewi

    Mkuu unatema madini tu leo agiza nikulipie
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani nini cha kufanya maana sielewi

    fedawa usiwe muongo laiti kma angejua mshahara wako asingekuuliza
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamani nini cha kufanya maana sielewi

    unatumia kinywaji gan mkuu ntakulipia
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji marafiki wakuchat

    Kweli bange mbaya naomba urud fb
  15. L

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka wapi ukiona hii kitu

    Daah zaman sana iyo
Back
Top Bottom