Recent content by Lunyungu

  1. Lunyungu

    JamiiForums Tanzania Mwaliko wa Vatican: Je, Mama kumsujudia Papa kwa kuibusu pete yake?

    Tuupe ukweli muda nao utasema muda ukiwadia. Je, TEC watakuwepo ama wanajua yule mnangaji asiye vaa viatu kwa ku feki atakuwepo kuwananga?
  2. Lunyungu

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yoyote unayofanya Rais Mpya kama hutogusa Jeshi la Polisi itakuwa kazi bure , utakosa uungwaji mkono wa wananchi

    Bro! You have a valid point hapa . Pia aondoe kesi za uongo mahakamani ili kuondoa msongamano wa mahabusu magerezani .
  3. Lunyungu

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo Mkoani Lindi wazuiwa kumuombea Dua aliyekuwa Mwenyekiti wao Maalim Seif kisa Maombolezo ya Hayati Magufuli

    Yaani kisomo nadhani ni ibada kwa waislam na anasomewa muislam no matter what .Sasa hata heshima kwa imani za watu hakuna kwa sababu gani tena ?
  4. Lunyungu

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo Mkoani Lindi wazuiwa kumuombea Dua aliyekuwa Mwenyekiti wao Maalim Seif kisa Maombolezo ya Hayati Magufuli

    Tuna shida mahala , wewe unaoajua ni wapi ?
  5. Lunyungu

    JamiiForums Tanzania Buriani Rais Magufuli, nilikupigania sana hapa JamiiForums

    Unasema ? Hayo maneno tu anaongea azikwe naye ? Hapo alipo hatakia kusikia anaumwa sikio asije kwenda kuzikwa
  6. Lunyungu

    JamiiForums Tanzania Buriani Rais Magufuli, nilikupigania sana hapa JamiiForums

    Chukua tano bro and am out !!!
  7. Lunyungu

    JamiiForums Tanzania Buriani Rais Magufuli, nilikupigania sana hapa JamiiForums

    The good thing is this , Mama knows what has been troubling this country . Siamini kama anaweza kutumia nguvu kutugawa kama alivyo mwendazake .
  8. Lunyungu

    JamiiForums Tanzania Buriani Rais Magufuli, nilikupigania sana hapa JamiiForums

    Big No . Kaacha alama ? Alama ipi ? Alam hiyo iko wapi ? Mimi nitamkumbuka kwa kuharibu Uchaguzi wa Mwaka jana kwa upi mengin ni shida hata kuyaandika . Pia aliingia kanisani kugombana na kanisa lake nayo ni alama hii kaacha true
  9. Lunyungu

    JamiiForums Tanzania Malalamiko hayatoshi tusinunue vocha

    Oops!!!!!!!
  10. Lunyungu

    JamiiForums Tanzania Malalamiko hayatoshi tusinunue vocha

    If you wanna meet cowards then visit Tanzania you will be surprised .
  11. Lunyungu

    JamiiForums Tanzania Malalamiko hayatoshi tusinunue vocha

    Tutangaze mgomo wa hii bidhaa . CCM wanajimaliza kwa mambo kama haya .
  12. Lunyungu

    JamiiForums Tanzania Malalamiko hayatoshi tusinunue vocha

    Sure Msimamo tu
Back
Top Bottom