Bora ya Issa kazaliwa vp kuhusu Adam??? Atakavorud hatakuja kuhukum kwn yey cyo hakimu (yaan Mungu) Bali atawapinga vikal woote waliokengeusha mafundisho yake na kumfanya yeye mungu(gods) badala ya kumuabudu Mungu (God).
Sent using Jamii Forums mobile app
Ingekuwa vizuri kama ungedadavua zaidi kwa kuonesha watu wenye taaluma za uongoz (yaan Wenye PSPA, HR na Utawala nk) ktk level ya degree, masters na pHDs jinsi wanavyoshindwa kuongoza na ukiwalinganisha na watu ambao hawana taaluma zozote. Ikumbukwe si kila Degree, masters, pHDs na Prof...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.